Ni kwanini wanawake wa siku hizi wanapenda kumtawala mwanaume ?

You are so sweet and darlingly made..... Kwanini sasa ukamuacha......?!
 
Umefanya utafiti kwa watu wote wa kaskazini!?
Mbona mnapenda kuconclude Mambo kwa sababu tu ya Watu wachache!???

Tabia ya mtu sidhani Kama inahusiana na kabila lake
Nilijua tu hii piece ni ya pande zile...
 
Ndani ya nyumba mwanamke ndie malkia na atakiwa kutawala kwasababu yeye ndie mlinda mji. Sasa mwanamke asipokuwa na sauti kwake atakuwa na sauti wapi?!

Kuna mambo unatakiwa ujue.... Mwanamke ni manager wewe ni CEO so kila mtu asimamie nafasi yake...
Sasa kwa nini Maneger anamzarau CEO!? Huuoni Kama CEO naweza leta Manager mwingine!?
 
Sasa Kama huna hata mia hayo Majukumu yako kwa Mpenzi wako utayasimamia vp!?
 
Kuna tofauti kubwa sana kati ya uzuri na utamu, maana unaweza kuta Demu mzuri lakini siyo mtamu,alafu unaweza kuta Demu sura ya Baba lakini tamu balaa hadi unachanganyikiwa!!
 
You are so sweet and darlingly made..... Kwanini sasa ukamuacha......?!
Hivi na wewe huwa una tumaneno tutamu kumbe?? little surprised.!!

I needed a very strong and matured man, we still good friends na bado ni mshauri wake pia..!!
 
Jibu wanalo wanaume wenzio walioko strong.!
Kama Mpenzi wako kakuomba Kodi ya Nyumba,hapo ustrong wako utasaidia nini kama hata mia huna!? Tupe mbinu kidogo labda kuna sehemu tunakwama!!
 
Ukiletewa ubabe ujue wewe siyo m'babe. Mwanamke anatakiwa aogope kukuletea ubabe.
 
Fisi ni moja kati ya wanyama ambao jike ndio kiongozi wa koo na mtawala mkuu.
Kwaiyo ukiona hvyo jua huyo mwanamke ana nyota ya fisi,
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hako kamsemo inaonekana kanakukera sana
 
Wanawake wa Kaskazini wapo hivyo, Hasa Uchaggani.
Mimi nakushauri, kabla hujaoa mchaga na ww sio mchaga lazima uwe unajua kupiga. kama hujui kupiga au hauna mkono wa kupiga usione mchagga. Hawa wanawake ili wakuheshimu inabidi Umzibue mabanzi ndio akuelewe, sasa ww leta mahaba na mwanamke wa kichaga utaelewa show
 
Umefanya utafiti kwa watu wote wa kaskazini!?
Mbona mnapenda kuconclude Mambo kwa sababu tu ya Watu wachache!???

Tabia ya mtu sidhani Kama inahusiana na kabila lake
Jamaa yupo sahihi nimeoa Mchanga nayaona anayoyasema na vitasa natembeza sana. Yaan midomo mirefuu kama Ndege John mtu anaongea kama cherehani ubishi ni kelbu za kutosha. Oh sijawahi kupigwa namkumbusha chuo nilimfua sana sbb maneno mengi ubishi. Namfua akitaka taraka Nampa kw nini nimbebe rohoni yy badala ya kumbeba Yesu

Sent from my TECNO K9 using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…