Ni kwanini wanawake wa siku hizi wanapenda kumtawala mwanaume ?

Na Ke watambue wanaandaa watoto wetu wa kiume na wa kike wataokuja kuwa Waume za Wanawake na Wake za Wanaume ktk kizazi kijacho, so kama hawatajitambua kusimamia nafasi zao vyema kiuwajibikaji ktk ndoa kwa kujilinganisha na Waume zao kwa pepo la "HAKI SAWA" basi wataambulia kupata Mabachela tu sababu wata-copy na ku-paste tabia zake(Mama yao Mzazi)
Mwanaume atabaki kuwa mwanaume tuu,mwanamke ni mshauri na msaidizi wa mwanaume.
 
Hakuna anayeyaogopa lkn yalitufunza vyema sana kimaadili kuliko matoto ya leo hii yasiyopigwa viboko yamekuwa matukutu kama nguruwe pori
Unajua utukutu Ni nature ya mtu.
Binafsi katika kukua kwangu kote sijawahi pigwa na baba yangu na sitegemei kupigwa...and he is so proud of me.

Watoto wengine wamepigwa na mzee na bado tabia mbovu ziko pale pale

Kipigo hakimbadilishi mwanamke.
Mwanamke km Ni mtukutu Ni mtukutu tu
Kujitambua kwake ndiko kutakakombadilisha

Vipigo vinapaswa viwe applied tu kwa watoto km biblia inavyoagiza
Wala sio wanawake
 
Hata kama lkn ningebahatika kumpata m1 tu anayefanania na tabia nzuri za Mke Mwema, lkn ndiyo wote hao jamani nakati hata kanda za kusini sikuwakuta wakiwa na upalestina kama huo [emoji848]
 
Mabao ya maana meno yote yataanguka chini hadi mwanya utapotea na kubaki kibogoyo [emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Meno yakidondoka chini walahi nalipiza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Japo sitegemei kuexperience hii kitu.kwanza huwa sientertain ugomvi maana siwezi kushindana
 
hahah hivi unajua ile moment unaongea na jamaa yako af unajifanya kupaza sauti unakula kofi la ghafla la kukukata kauli.Wala sio bao la John Cena
Eti unakula Kofi la ghafla[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hatari sana
 
Kwahiyo hata mwanamke akipata mwanaume mwenye sifa mbaya zinazoshabihiana na hizo na huyo mwanamke naye achepuke si ndiyo?
 
Hata kama lkn ningebahatika kumpata m1 tu anayefanania na tabia nzuri za Mke Mwema, lkn ndiyo wote hao jamani nakati hata kanda za kusini sikuwakuta wakiwa na upalestina kama huo [emoji848]
Wewe hukupata ila mbona Kuna wenzio wamepata!??kaskazini huko huko

Kuna watu wamewapata wa kusini na wanajuta nao...
Kwa hiyo nao waconclude kwamba wa kusini wote Ni wabaya?
 
We Mwanamke Mungu kakujalia sana hekima, ndiyomaana ktk METHALI 31 inaeleza kuwa Mke mwema hata watoto humjua na kunena wao kwa wao "Heri Baba kapata Mke mwema"
Hata akiwa boya...hupaswi kumtawala...ukifanya hivyo ndio unabomoa nyumba...maana mwanamke ni jengo ila mume ni msingi, jiulize bila msingi kuna jengo?. Neno la Mungu linasema.. " mwanamke mpumbavu ataivunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe"
 
Ngoja aje mwanamke mwenzako Edelyn sijui @Edlyn uone anatakavyo kupinga wazi wazi
"Edelyn jeshi la Mtu m1" [emoji3] kaanzisha mada kutetea usawa ktk mahusiano naona anaendesha jukwaa pekeyake tangu jana.

Nimemnyanyulia mikono juu yule Mama kwa kujitetea yuko vzr sana na hakubali kushindwa kirahisi rahisi hata kidogo [emoji119][emoji16]
 
Kwa hiyo unamshauri mwenzio asiwe na moyo wa upendo!??
Kumbuka maandiko yanaagiza muwapende wake zenu kol3:19

Mwanamke anastahili upendo
Mwanaume anastahili utii kol3:18
Upendo ninaouzungumzia mimi ni upendo wa kiasi la sivyo kupenda sana Binadamu kutamfanya ashindwe kupata hata muda wa kumuabudu Mungu na kujiendesha ktk kazi zake za kujitafutia riziki 7bu atakuwa anawaza Ke wakati wote tokana na kutawaliwa na hisia bila akili zake halisi/za kuzaliwa.

Mungu ametuagiza tuwe na kiasi ktk kila jambo na ni sehemu muhimu sana ktk ufahamu wa hekima kimaisha.

Nimemaliza.
 
Lakini kwenye comment yako hukuongelea kiasi
Uliongelea upendo
 

Sometime huwa wanalilia ile nafasi ili wapate fursa ya kuwa na michepuko , na hapo ukikuta mme wake kashamtawala hata akija saa nane usiku akasema alikuwa kwenye kikoba mme wala hahoji ulikuwa wp
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…