Ni kwanini wanawake wanapenda wanaume wanaokunywa pombe?

Ni kwanini wanawake wanapenda wanaume wanaokunywa pombe?

Mlevi anakunywa chochote kikubwa alewe hata visungura kwake fresh tu.!! Mnywaji anashtua ubongo kidogo basi..!!!
Tofauti na yule mlevi mpk mlango wa nyumbani kwake anafungua na teke 🤣🤣🤣🤣
Shukuru hata huyo ana nguvu ya kupiga teke,Kuna wenzie anasahau gari baa,Kuna mwingine anafika nalo ila gari ikizima na yeye anazima hapohapo analalia sterling 🤣
 
Wasalaam
Hii nimeshuhudia sana. Kama mtu anakunywa pombe ni rahisi kuwapata Wanawake ila kama hunywi ni ngumu sana. Najiuliza sana sababu ni nini.

sababu kuu ya kupendwa sio pombe. bali sababu kuu ni uchumi

wanaume wengi wenye kazi nzuri na maisha mazuri ni wanywaji wa pombe.

wanawake wanataka uhakika wa maisha. wenye maisha ndio hao wanywa pombe
 
Back
Top Bottom