Ni kwanini wanawake wanapenda wanaume wanaokunywa pombe?

Ni kwanini wanawake wanapenda wanaume wanaokunywa pombe?

Wanaume walevi wanapendwa na wanawake walevi

Hivyo hivyo rafiki mlevi anakuaga na rafiki mlevi, mtu ambae siyo mlevi ni ngumu sana kuwa na rafiki mlevi labda wawe na mazoea tu kupiga stori na kucheka na siyo urafiki wa maana
 
Back
Top Bottom