Ni kwanini wanawake wanapenda wanaume wanaokunywa pombe?

Ni kwanini wanawake wanapenda wanaume wanaokunywa pombe?

Si unaona😂😂😂 hata ukijitetea namna gani tunarudi pale pale chupa mbili tatu tu wanawake wote baa wana makalio makubwa na sura za kupendeza.
Sasa kutomasa makalio ni jambo la kumsema mtu mkuu? Ushauri kama unapenda afya yako ya akili basi usisite kudate mlevi.
 
Sasa,utakuwa na majukumu ya kifamilia,kama unajitambua,ada,kodi,usafiri,ndugu,mambo kibao, ya kulewa itatoka wapi? Sasa basi,wanawake wanaopenda walevi,ni wale wa baa. Maana kuibiwa na kuongezewa bili,ni kufikia na kistaarabu tena! Hamna kelele.

Mjinga mmoja majuzi kasimulia alivyolipwa, kakimbilia benki ka mshahara kote akavuta. Lengo likiwa kumtumia mzazi mwenzie ada ya mtoto wake. Si ana hela!! Eti kapitia baa inayoeleweka,kawakuta wadada aanaojielewa. Kachanganya kila aina,eti kiumbe furani kinamchora,alivoinua kwenda uani,kafuatwa huko na kushikiwa mpini. Huko huko kafungiwa na kupewa mzigo. Kumbe anavohangaika kupalamia,na hela zinachomolewa. Kwenda kulipa,pesa hana, simu hana. Aliyempa sapoti huko chooni,haonekani.
Kwa hiyo,walevi ni rahisi sana kusaidia.
 
Title ya hii thread ilitakiwa iwe: Kwanini wanawake walevi wanapenda wanaume walevi?
Wala. Hata nyumbani uwaga hivo mkuu. Maana ukishalewa,anakusachi,akipata, anaficha,ukiuliza atakwambia hata pikipiki ilokuleta kalipia yeye. Utasema nini sasa!!!
Ila, mtoa mada atwambie na wanawake walevi wanapendewa nini?!
 
Mlevi anakunywa chochote kikubwa alewe hata visungura kwake fresh tu.!! Mnywaji anashtua ubongo kidogo basi..!!!
Tofauti na yule mlevi mpk mlango wa nyumbani kwake anafungua na teke 🤣🤣🤣🤣
Au mlango wowote atakaoukuta wazi, ndo kwake hapo. Akute mama wa watu yupo nacked,aanze eti mama nani(anamuita mke wake)!! Mbona leo unaonekana kitoto vipi!
 
Utasikia mimi nikifika wote mje sebuleni kunisalimia [emoji3][emoji3]



Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Sasa🤦!!! Si ndo raha ya mlevi baba wa familia. Aulize mmekula kuku? Mnasema hapana. Anauliza kwani kuku Sh ngapi? Mama anasema laki mbili. Dadeeki. Hiyo ni saa saba usiku au saa nane. Anamwambia mdada wa kazi afate kuku sokoni. Hao si ndo wazuli! Ila akiwa John Cena, ndo utajua hujui
 
Back
Top Bottom