Ni kwanini wanawake wanapenda wanaume wanaokunywa pombe?

Ni kwanini wanawake wanapenda wanaume wanaokunywa pombe?

Wasalaam
Hii nimeshuhudia sana. Kama mtu anakunywa pombe ni rahisi kuwapata Wanawake ila kama hunywi ni ngumu sana. Najiuliza sana sababu ni nini.
for sure wanawake wengi mno naweza kusema asilimia90, wana hamu sana na wanahitaji kutongozwa....

mlevi akishatoa lock na kisungura au nyagi anakua jasiri sana, haogopi kutongoza pisi ata iwe kali namna gani,

matoke yake sasa,
akitupa ndoanao tu kwa pisi ilovirugwa na mnywa kahawa na wanyanyua vyuma wasio na pimzi ni chap mara moja direct mpaka lodge muda huo huo 😀
 
for sure wanawake wengi mno naweza kusema asilimia90, wana hamu sana na wanahitaji kutongozwa....

mlevi akishatoa lock na kisungura au nyagi anakua jasiri sana, haogopi kutongoza pisi ata iwe kali namna gani,

matoke yake sasa,
akitupa ndoanao tu kwa pisi ilovirugwa na mnywa kahawa ni chap direct mpaka lodge muda huo huo 😀
Na ndo anaenda kuibiwa sasa 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom