Ni kwanini wanawake wanapenda wanaume wanaokunywa pombe?

Ni kwanini wanawake wanapenda wanaume wanaokunywa pombe?

Na walevi wanapenda kuongea km chiriku hawajui km midomo inanuka 🤣🤣🤣
Hapo sasa. Ndo ujiulize mwanamke anaelala na baba mlevi,avutae sigara au ngiba, anakuwa na hali gani. Hata mnywaji,labda wote muwe mnakunywa.
Au jimama liwe linajiboost kwa bia af father house hagusi! Hapo mmoja atalala chumba cha wageni
 
Mzee,
Sio Kila pombe hutoa harufu mzee take an adventure 😊😊😅😅
 
Sema wanaume msiolewa mna gubu jamani
Sasa na wewe,waache wawe na gubu. Akishalewa,anapewa miadi kibao. Tena anashawishiwa kuendeleza. Ngoja zimpande kisawasawa. Akiamka,ataambiwa anadaiwa na hela ya lodge,huku kalala kwenye kiti. Kama yupo home,atastuka kesho yake na mlango wazi.pesa hakuna, simu ndo kwishne, kama ana laptop,na begi lake halioni.
Hapana. Si kwamba hawalewo,wengi waliacha baada ya kukumbana na matukio mazito
 
Back
Top Bottom