Gated community ni jumuia ya makazi yenye uzio au ukuta wa pamoja na mageti yanayodhibitiwa. Hakuna haja ya kila mtu kujenga uzio wake, kwani usalama uko wa pamoja.
uzuri wa gated communities mnalipa watu wachache wafanye kazi eneo kubwa badala ya kila moja kuingia gharama mfano mnalipia kampuni kuwapa walinzi wanne wa kulinda nyumba zote na kudhibiti mageti, mnalipia kampuni ya usafi kuleta vijana wachache kuhakikisha eneo lote ni safi, kukata majani, n.k.
Ndani ya eneo mnaweza kuweka kiwanja cha michezo kwajili ya jumuia, swimming pool, bar, n.k.