Ni kwanini watanzania hawapendi kukaa kwenye gated communities , kila mtu anataka nyumba yake iwe na fensi

Ni kwanini watanzania hawapendi kukaa kwenye gated communities , kila mtu anataka nyumba yake iwe na fensi

Stress huwa inasababisha watu kushindwa kuzaliana.
Stress za kujitakia. Ki msingi wabongo hatuna stress zinazoweza sababisha watu wasizaliane ndio maana kuna watu hata kitanda cha kulalia yeye mwenyewe hana ila ameweza kuwapa mimba wanawake kadhaa.
 
Labda NHC&WHI wafanye kwenye miradi yao inawezekana tu ila kusema watu waji-organise wajenge uzio ni ngumu.
 
Back
Top Bottom