Unaona sasa 🤣Uanze tena kulipia gharama za kuwa na nyumba humo?!
unadhihirisha akili za watanzania walio wengi. nimependa unavyoonyesha upumbavu wako. maana umeandika as if hatuna gated communities na kwamba ni kitu cha ajabu. kwa nchi la kijinga na ambalo si salama gated communities ni mbadala wa usalama.Nyie ndio wale wadaku wadaku......
Acha makasiriko bi mkubwaunadhihirisha akili za watanzania walio wengi. nimependa unavyoonyesha upumbavu wako. maana umeandika as if hatuna gated communities na kwamba ni kitu cha ajabu. kwa nchi la kijinga na ambalo si salama gated communities ni mbadala wa usalama.
shikilia shanga zisianguke hizo..Acha makasiriko bi mkubwa
Sawa nimezishika vizuli uno lako nene na zile za kijani nilizokununulia hujazivaa leo kwaninishikilia shanga zisianguke hizo..
Gated community ni jumuia ya makazi yenye uzio au ukuta wa pamoja na mageti yanayodhibitiwa. Hakuna haja ya kila mtu kujenga uzio wake, kwani usalama uko wa pamoja.
uzuri wa gated communities mnalipa watu wachache wafanye kazi eneo kubwa badala ya kila moja kuingia gharama mfano mnalipia kampuni kuwapa walinzi wanne wa kulinda nyumba zote na kudhibiti mageti, mnalipia kampuni ya usafi kuleta vijana wachache kuhakikisha eneo lote ni safi, kukata majani, n.k.
Ndani ya eneo mnaweza kuweka kiwanja cha michezo kwajili ya jumuia, swimming pool, bar, n.k.
View attachment 3449067
View attachment 3449066
View attachment 3449110
View attachment 3449112