mcTobby
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 7,894
- 22,679
Ni kwa sababu aina ya wageni wanaokaribishwaAjabu ni kuwa wazungu wasioweka mafence huwaga kila mtu na zake, lakini sisi tunaoishi kwenye mafence ,majirani wanajua hadi ya chumbani.
Ni kwa sababu aina ya wageni wanaokaribishwaAjabu ni kuwa wazungu wasioweka mafence huwaga kila mtu na zake, lakini sisi tunaoishi kwenye mafence ,majirani wanajua hadi ya chumbani.
Sijaelewa
Umesoma hiyo reply?Sijaelewa
Kwani lazima tuige kila kitu kutoka kwao. Tulivyoshaiga vimetosha.Gated community ni sehemu iliyozungushiwa fensi na mageti, ndani yake kuna nyumba nyingi ambazo haziwekwi fensi kwasababu tayari kuna uzio wa eneo lote
Nchi nyingine watu huwa wanajipanga wananunua eneo kubwa wanazungushia fensi, wanajenga nyumba zao,
View attachment 3449067
View attachment 3449066
View attachment 3449064
Hapo lazima kutakuwa na mwenyekiti ambaye atakuwa anakusanya michango pamoja na kuja kutangaza sheria mpya kila wakati sasa kuna utofauti gani na manamba?yaani unakuwa upo kwako lakini unapangiwa masharti kama uko gerezani kuna faida gani?Uanze tena kulipia gharama za kuwa na nyumba humo?!
🤣🤣🤣Tatizo ni hiki chama mkuu....
chama kimelea watekaji na wahuni kwa muda mrefu sasa wananchi wafanyejeTatizo ni hiki chama mkuu....
Sawa mgumba, naona umepata mimba...😏basi unatema mate mtaa mzima...😜Hata mkishindwa kuwapa wake zenu mimba mtasingizia hiki chama
Kwa hiyo hapa Marekani kuna shida ya viwanja ?Hapo lazima kutakuwa na mwenyekiti ambaye atakuwa anakusanya michango pamoja na kuja kutangaza sheria mpya kila wakati sasa kuna utofauti gani na manamba?yaani unakuwa upo kwako lakini unapangiwa masharti kama uko gerezani kuna faida gani?
Hayo mambo wanafanya kwenye nchi ambazo kuna shida ya viwanja,Tanzania kuna mapori kibao kwa nini tujibane hivyo
Utoto rahaSawa mgumba, naona umepata mimba...😏basi unatema mate mtaa mzima...😜
Mostly hizo huwa ni nyumba za makampuni, watu wamepanga.Gated community ni sehemu iliyozungushiwa fensi na mageti, ndani yake kuna nyumba nyingi ambazo haziwekwi fensi kwasababu tayari kuna uzio wa eneo lote
Nchi nyingine watu huwa wanajipanga wananunua eneo kubwa wanazungushia fensi, wanajenga nyumba zao,
View attachment 3449067
View attachment 3449066
View attachment 3449064
Bora waendelee kuwa wakatili na wenye roho mbaya tu🙄chama kimelea watekaji na wahuni kwa muda mrefu sasa wananchi wafanyeje
Bora nihamie Burundi tu mkuu...🙄Tatizo umbeya
Ukipita na zigo lako,...ukila majani wamo ,ukibadirisha mboga wamo ,uki change gari wamo
Africans we dont mind our business
Ndio, sijaielewaUmesoma hiyo reply?