Ushimen
Platinum Member
- Oct 24, 2012
- 44,788
- 113,025
Wenye mimba changa ndivyo mlivyo...😜Utoto raha
Wenye mimba changa ndivyo mlivyo...😜Utoto raha
Utoto rahaWenye mimba changa ndivyo mlivyo...😜
Hakuna gated community ambayo watu wanachanga hela halafu wananunua eneo la pamoja na kila mtu anajenga nyumba yake. Ulaya na US watu hawajengi nyumba bali hununua au kupanga. Hizo nyumba ulizopost zimejengwa na developer mmoja kisha zikauzwa au kupangishwa na ndio maana zinafanana. Halafu sio kila mtu anaweza ku-afford kukaa kwenye hizo nyumba maana huwa zinakuwa ghali, hata huko nako kuna uswahilini pia ingawa sio kwa levo za huku. Tanzania kuna gated communities chache sana kwa sababu ni watu wachache sana wanaweza kununua au kupanga huko.Gated community ni sehemu iliyozungushiwa fensi na mageti, ndani yake kuna nyumba nyingi ambazo haziwekwi fensi kwasababu tayari kuna uzio wa eneo lote
Nchi nyingine watu huwa wanajipanga wananunua eneo kubwa wanazungushia fensi, wanajenga nyumba zao,
View attachment 3449067
View attachment 3449066
View attachment 3449064
Marekani kuna mapori kama ilivyo Tanzania?Kwa hiyo hapa Marekani kuna shida ya viwanja ?
Yapo meng zaidi ya Tz. Mzee unaweza fananisha ukubwa wa Usa na hiyo Tz ?Marekani kuna mapori kama ilivyo Tanzania?
Kiswahili Kinarahisisha kutongoza kama unajiamini nenda Bima Tabata na jeshi kilwaroad,uroda unapigwa kama gitaa,kama ukiona vipi amuaGated community ni jumuia ya makazi ambayo imezungushiwa uzio au ukuta na yenye mageti ya kuingilia na kutoka yanayodhibitiwa. Ndani ya jumuia hii hakuna haja ya kuwa na uzio binafsi kwa sababu eneo lote tayari lina ulinzi na mipaka ya pamoja.
uzuri wa gated communities mnalipa watu wachache wafanye kazi eneo kubwa badala ya kila moja kuingia gharama.
- Badala ya kila nyuba iwe na mlinzi, mnalipia kampuni iweke walinzi wanne tu wadhibiti watu wa kuingia getini na kuhakikisha usalama wa nyumba zote
- Badala ya kila nyumba kulipia kuzolewa taka, kukatiwa nyasoi na usafi wa nje, mnalipa kampuni usafi italeta vijana wachache kusafisha eneo kila siku
- Inakuwa rahisi sana kuletewa internet kama ya ttcl maeneo hayo kuzidi kila nyumba ikijisimamia
Nchi nyingine huwa kuna utaratibu mfano vijana wa miaka 30 hadi 40 wanajipanga wananunua eneo kubwa wanazungushia fensi, wanajenga nyumba zao wanaishi kama jumuia. ni faida pia kwa watoto maana wanakuwa hawapishani sani umri, wanacheza na kukua pamoja hakuna mambo ya geti kali.
View attachment 3449067
View attachment 3449066
View attachment 3449064
Ishu sio ukubwa tunaongelea ardhi ambayo imebaki bado haijajengekaYapo meng zaidi ya Tz. Mzee unaweza fananisha ukubwa wa Usa na hiyo Tz ?
BAdo ipo kubwa sana chief. Karibu siku moja nikutembeze hapa na pale.Ishu sio ukubwa tunaongelea ardhi ambayo imebaki bado haijajengeka
Project imefeliBongo kuna avic town nadhani
Sijui shida ilikuwaje pale?Project imefeli
We ngedere siyo kila kt ni siasa, km mmeshindwa kuitoa kwenye sanduku la kura acheni siasa siyo mnadandia kila madaTatizo ni hiki chama mkuu....
Siyo kama hawataki ila ni hali halisi ya maisha. Nyumba za aina hii huwa zinajengwa na kampuni na kuuza kwa watu mbalimbali au kukodisha. Hali ya maisha ya watanzania wengi hairuhusu, yaani hawana uwezo wa kununua au kupangisha.Gated community ni jumuia ya makazi yenye uzio au ukuta wa pamoja na mageti yanayodhibitiwa. Hakuna haja ya kila mtu kujenga uzio wake, kwani usalama uko wa pamoja.
uzuri wa gated communities mnalipa watu wachache wafanye kazi eneo kubwa badala ya kila moja kuingia gharama mfano mnalipia kampuni kuwapa walinzi wanne wa kulinda nyumba zote na kudhibiti mageti, mnalipia kampuni ya usafi kuleta vijana wachache kuhakikisha eneo lote ni safi, kukata majani, n.k.
Ndani ya eneo mnaweza kuweka kiwanja cha michezo kwajili ya jumuia, swimming pool, bar, n.k.
Katika baadhi ya nchi, vijana wa miaka 30–40 wenye vipato na maisha yanayofanana huungana, hununua ardhi kubwa, huzungusha fensi na kujenga nyumba zao, wakiishi kama jumuia. Hii huleta mshikamano na ni faida kwa watoto kwani hukua pamoja kwa uhuru na usalama hakuna mambo ya geti kali.
- Gharama hupungua kwa kununua na kujenga kwa pamoja.
- Maisha ni salama: mnajuana na kuwekeza kwa ulinzi wa pamoja.
- Ubora wa maisha hupanda: kuna usafi, utulivu, na jamii yenye mshikamano.
View attachment 3449067
View attachment 3449066
View attachment 3449110
View attachment 3449112
Sema ni hali ya maisha inabana, yaani hatuna uwezo. Mjini na mifugo wapi na wapi. Nchi nyingine ukiwa mfanyakazi basi automatically unakuwa huna huja ya kufuga kuku wa xmass kwa sababu una uwezo wa kununua.Mbona zipo pale mlimani city nyingine zipo Goba. Sema kwa ustaraab wetu 0 hazitufai maana utakuta matatizo ni mengi kuliko faida. Sisi waafrica tunataka spaces ufuge hata la kakuku la krismax