Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MkuuHata hili suala la kumpa "promo" za kupitiliza huyu Kijana Jackson Majaliwa, ni jambo linaloshangaza Sana!🥺
Aisee....Mkuu
Huyo kijana ni kada wa CCM ndio maana amehanikizwa bango la sifa ambazo hastahili. Kijana huyo baada ya kufunga kamba ndege na mtumbi ilikatika na kumpiga usoni akazimia na kutumbukia majini akaokolewa na wavuvi au wachuuzi wa samaki wengine lakini hawatajwi popote wala kupewa kongole kwa kumwokoa Majaliwa asipoteze maisha aibu kubwa sana
Ukiona hivyo ujue kuna mahali fulani wameumizwa; hapa unatakiwa uwape pole na si kuwalalamikia!!Najiuliza ni sababu zipi zinazowafanya watawala wetu wa CCM "waweseke" kiasi hiki kwa ajili ya ajali hii ya ndege ya Precision Air?