Ni kwanini watawala wetu wa CCM "wanaweweseka" Sana kuhusu ajali iliyotokea ya Precision Air?

Ni kwanini watawala wetu wa CCM "wanaweweseka" Sana kuhusu ajali iliyotokea ya Precision Air?

Hata hili suala la kumpa "promo" za kupitiliza huyu Kijana Jackson Majaliwa, ni jambo linaloshangaza Sana!🥺
Mkuu

Huyo kijana ni kada wa CCM ndio maana amehanikizwa bango la sifa ambazo hastahili. Kijana huyo baada ya kufunga kamba ndege na mtumbi ilikatika na kumpiga usoni akazimia na kutumbukia majini akaokolewa na wavuvi au wachuuzi wa samaki wengine lakini hawatajwi popote wala kupewa kongole kwa kumwokoa Majaliwa asipoteze maisha aibu kubwa sana
 
Aisee....
Hii nchi inasikitisha Sana, namna wanavyofanya ubaguzi wa waziwazi kabisa!

Ina maana wenye Haki nchi hii ni wanaccm pekee?🥺
 
Najiuliza ni sababu zipi zinazowafanya watawala wetu wa CCM "waweseke" kiasi hiki kwa ajili ya ajali hii ya ndege ya Precision Air?
Ukiona hivyo ujue kuna mahali fulani wameumizwa; hapa unatakiwa uwape pole na si kuwalalamikia!!
Kwenye kilugha chetu huwa tuna msemo ni wa ajabu kidogo lakini samahani naomba niutumie hapa. Kuna msemo huwa unasema kuwa hivi "ukiona mtu mzima anatawaza, ujue ameshajisaidia haja kubwa". Samahani kwa kutumia mfano huu lakni nia yangu ni moja tu; umaendana kabisa na kile ambacho wewe unajaribu ku-querry hapa
 
Back
Top Bottom