Mkuu
Huyo kijana ni kada wa CCM ndio maana amehanikizwa bango la sifa ambazo hastahili. Kijana huyo baada ya kufunga kamba ndege na mtumbi ilikatika na kumpiga usoni akazimia na kutumbukia majini akaokolewa na wavuvi au wachuuzi wa samaki wengine lakini hawatajwi popote wala kupewa kongole kwa kumwokoa Majaliwa asipoteze maisha aibu kubwa sana