Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh kwa hiyo ukaona maajabuNilisimamia kazi maeneo ya ofsi zao sasa mlinzi wao akaja naye kucheki kuchunguliachungulia eneo la kazi tulikaa naye zaidi ya masaa mawili nikasema hii sura naikariri nikionana naye mtaani tujuane chakushangaza nilipotoka pale na sura yake ikapotea hata nikikutana naye siwezi kumjua.