Ni kwanini Watu Wengine katika Jamii ni wa Kawaida tu, ila huhisiwa kuwa ni kutoka TISS au JWTZ?

Mtani niko ukwamani nimekuletea sabuni ya jamaa kutoka kenya na mtama mwekundu kutoka shirati
 
Duh kwa hiyo ukaona maajabu

Ova
 
Kama Si mhalifu hutowahofu watu hao.

Wapo Kwa maslah mapana ya nchi yetu nzuri TANZANIA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…