Ni kwanini wilaya ya Kigamboni maendeleo yapo taratibu sana?

Nilikuwa sijakuelewa. Kumbe unazungumzia maeneo kama Kimbiji,Buyuni,Pemba mnazi huko. Huko bado sana,kama uliruka huku mwanzo ukakimbilia huko hama tu hamiq Goba
Nazungumzia kigamboni ndio, na huko kote ulipopataja ni wilaya ya kigamboni
 
Pole sana ilikua maeneo Gani?
 
Pashasuswa, hizo hela za kujenga barabara zinatoka wapi miaka yote Kuna sehemu mvua zikinyesha hapapitiki, ishu sio maduka na bar
Hela za kujenga barabara zitapatikana, kwanini zisipatikane?
Kwani huko kwingine zinatoka wapi?
Mradi wa maji Arusha ni zaidi ya nusu trilioni, zilitoka wapi?
Ikianza barabara ya kwenda Buyuni/Pembamnazi kutakuwa na uwekezaji mkubwa tu na mipangomiji ya kigamboni ni mizuri.
Fukwe zote karibia zimechukuliwa na ukitaka kustarehe we fuata bahari. Hamna haja ya kigamboni eti iwe kama Chanika au Goba. na hakuna haja ya kuwa na bar kama tabata kwenye sehemu za residential.
 
Pole sana kaka ndo ubaya wa kigamboni yetu huo
 
wilaya isiyo barabara pia
 
Huko chaka mzee, utasubiri sana. Huku Geza kurudi nyuma hadi feri unapaonaje?
Sasa unaniambiaje ntasubiri sana? Usiseme huko ni chaka, sema kigamboni ni chaka, maana asilimia kubwa ni mapori, huko GEZA kurudi nyuma unazungumzia eneo Dogo lililojengeka
 
Sasa unaniambiaje ntasubiri sana? Usiseme huko ni chaka, sema kigamboni ni chaka, maana asilimia kubwa ni mapori, huko GEZA kurudi nyuma unazungumzia eneo Dogo lililojengeka
Usilazimishe kama umeenda chaka ndio hivyo hamia Goba maanake utasubri sana hadi huku mwanzo kujae.
 
Hapa jamaa katukosea sana inabidi atuombe radhi au anaona kwa sababu wilaya yetu Ina mapori mengi😂😁🤣
Dada amehamia kwake mwaka mpya ndio ilikua uzinduzi ""Cheka"" huko mbele mbele sanaa sababu ya umbali nilipata uvivu wa kwenda japo nilipewa mwaliko..

Yaan kule ukiwa hauna usafir wako binafsi ni shida yaan..
Nilienda mwaka juzi mwishoni wakiwa wanachimba msingi Hadi Leo sijawai kwenda maana ni kilometers Mingi sanaa + Mapori
Ni uhakika sister angu na mumewe wanachoma mafuta mengi go & returns zao kigamboni to posta
 
Sasa Cheka hapo mjini kabisa, nenda mbele huko ukajionee mapori Cheka hujaona mapori bado
 
Kigamboni imekaa kushoto na Airport, maji ya Bomba maeneo mengi hakuna, mvua zikinyesha njia zahuko hazipitiki, ni mbali kwenda Magufuli Mbezi, pia usafiri wakwenda mjini ni majanga tupu Kuna Mda ferries Huwa Zina haribika na haziendi Kwa mpangilio ikifika kuanzia saa6 za usiku usafiri wahuko ni tabu tupu, kiufupi kigamboni pamejitenga watu wanapakwepa
 
Kama unafanyakazi posta, Cheka sio mbali na hakuna foleni,huchomi mafuta.
 
Hakuna kitu kinanichekesha kama mtu akisema ni mbali na Magufuli bus stand! Mbona hamsemi Bunju ni mbali na airport? Na nani kawaambia kila mtu ana shida na Magufuli bus stand? BTW mabasi siku hizi yanafika Kigamboni. Mengi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…