Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Andika yako mzee 😅 hayo maoni yake na ninayaunga mkono kwa uhalisia kabisaMagufuli hamna kitu hapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Andika yako mzee 😅 hayo maoni yake na ninayaunga mkono kwa uhalisia kabisaMagufuli hamna kitu hapo
Bunge lingekuwa live ulikuwa na TV kwenu wewe ?Mtu akifa anazidishiwa sifa..
Mkapa alifungia magazeti..
Bunge halikuwa live..
Mauaji ya mwembechai..
Kuuza NBC bei ya bure.
Kuwapa wabunge mishahara hii ya sasa
Imagine toka enzi ya Mkapa mishahara ya
Wabunge ndo hii hii na bado hadi leo tunalia ipunguzwe..
Kutokulipa Kodi kwa Rais Hadi wabunge Hadi ma DC...yote haya ya Mkapa...
Watoto wa juzi mmeanza tena kusifia watu kwa kupewa mazuri Yao Tu bila ku balance mapungufu Yao makubwa..ndo maana hata wengine mnataka wajengea masanamu
Fala Sana we mnyarwanda wa Kyerwa.Hiyo 150% ningempa zaidi yule Basha wako.
Huyo choko ni 0.005% katika nyadhifa zake zoteSwine Mwigulu ameshawahi kuwa Rais?
Hapana kuna maeneo kaanza vyema ila anachokosea tu na Kunikera zaidi ni Kumsikiliza Mharibifu wa Taifa hili la Tanzania hasa Kimaadili na Kiutendaji badala ya kukaa nae mbali tena Kumuepuka kabisa.Mama mpaka Sasa yan negative, aka hasi
-10%
shangazi yangu si ni wewePopoma Shangazi yako / Mjomba wako.
Naamini Dozi uliyoitaka imekuingia vyema.Fala Sana we mnyarwanda wa Kyerwa.
Sijapenda tu ulivyomuita hivyo Choko.Huyo choko ni 0.005% katika nyadhifa zake zote
Naona unalazimisha Kombora Kubwa la Intercontinental Ballistic Missile ( IBM ) Kukushambulia na Kukuharibu vibaya kabisa Mkuu. Haya endelea tu kisha nibonyeze Kitufe niliteremshe rasmi Kwako.shangazi yangu si ni wewe
Ulipenda nimuite mjomba wako au sio!Sijapenda tu ulivyomuita hivyo Choko.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Gentamycine mhuni Sana nimecheka mnooNaona unalazimisha Kombora Kubwa la Intercontinental Ballistic Missile ( IBM ) Kukushambulia na Kukuharibu vibaya kabisa Mkuu. Haya endelea tu kisha nibonyeze Kitufe niliteremshe rasmi Kwako.
Kwa maana hiyo wastani wa marks/year.Ukiniambia nisahihishe Tawala zote za Tanzania Kitaaluma haya ndiyo Matokeo yangu na naomba yaheshimiwe tafadhali....
Nyerere 95%
Mwinyi 40%
Mkapa 90%
Kikwete 25%
Magufuli 75%
Samia 5% mpaka sasa
Ukichukia jikaangie tu Sumu unywe Ufe.
Kwanini Mkuu wangu?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Gentamycine mhuni Sana nimecheka mnoo
Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Tanzania imewahi kuwa na Rais aitwae Magufuri? Hopeless hebu acha Kunipotezea muda tafadhali na huna Ubongo wa Kujenga Hoja nami kama hata tu Kuandika vyema ( sahihi ) jina la Rais hujui.Kwa maana hiyo wastani wa marks/year.
Nyerere miaka 24----->95%÷24~3.96%
Mwinyi miaka 10------>40%÷10=4%
Mkapa miaka 10------->90%÷10=9%
Kikwete miaka 10------>25%÷10=2.5%
magufuri miaka 5.4----->75%÷5.4~13.9%
Samia miaka 0.3-------->5%÷0.3~16.7%
hivyo wastani kwa mwaka nani kaperform zaidi?
Ben, Mr. CleanMkapa alikuwa haogopi mijadala ya kimataifa- Rais
@SuluhuSamia
Chanzo: EastAfricaTV
Ninachojua tu GENTAMYCINE ni kwamba Siku zote ukiwa na Akili sana, Unajiamini, Msomi na Msomaji mzuri wa Vitabu, una 'Exposure' ya Kutosha, siyo Mnafiki wala Muoga, Mcha Mungu hasa na siyo Mchanganya Mungu na Majini ya Baharini, Mshamba na Mbinafsi hata Watu wa Kimataifa nao Watakuheshimu mno tu.
RIP sana Rais wangu Bora kabisa wa Pili kuwahi kutokea nchini Tanzania Hayati Benjamin William Mkapa 'Makuwa Genius' ukitanguliwa na Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere 'Zanaki Genius' na Kiukweli si tu huwa nawakumbuka bali nawalilia zaidi kwani mliifanya Tanzania iheshimike si tu Afrika bali hata duniani kote.
Hakuna sababu yoyote ya kukufanya upaniki kiasi hicho,hayo ni makosa tu ya kiuandishi ambayo yanarekebishika bila kuanza kutoleana maneno ya kashifa.Mbona unakosa uvumilivu kwa wenzio wewe ni mwerevu kiasi gani? Je ukipewa uongozi wa kitaifa mawazo ya wenzio wanaotofautiana na wewe si utakua unayapiga nyundo?Tanzania imewahi kuwa na Rais aitwae Magufuri? Hopeless hebu acha Kunipotezea muda tafadhali na huna Ubongo wa Kujenga Hoja nami kama hata tu Kuandika vyema ( sahihi ) jina la Rais hujui.
Rubbish and Hogwash.Hakuna sababu yoyote ya kukufanya upaniki kiasi hicho,hayo ni makosa tu ya kiuandishi ambayo yanarekebishika bila kuanza kutoleana maneno ya kashifa.Mbona unakosa uvumilivu kwa wenzio wewe ni mwerevu kiasi gani? Je ukipewa uongozi wa kitaifa mawazo ya wenzio wanaotofautiana na wewe si utakua unayapiga nyundo?
Ila sera ya ubinafsishaji haikwenda vizuri.
Viwanda vilichukuliwa na wahusika hawakuviendeleza.