Ni kwasababu alikuwa na Akili sana, siyo Mnafiki, Msomaji mzuri, hakuogopa Kukosolewa, alijiamini na hakuwa Muongo kama wengine

Ni kwasababu alikuwa na Akili sana, siyo Mnafiki, Msomaji mzuri, hakuogopa Kukosolewa, alijiamini na hakuwa Muongo kama wengine

Kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake. Mimi binafsi bado sijaona Rais bora aliyewahi kutokea tangu uhuru mpaka leo, bado hajatokea.

Wote waliopita kuanzia Nyerere hadi huyu mama yenu hakuna ninaye weza kumpatia sifa zinazoshahili. Wote ni bure kabisa.
 
Mtu akifa anazidishiwa sifa..
Mkapa alifungia magazeti..
Bunge halikuwa live..
Mauaji ya mwembechai..
Kuuza NBC bei ya bure.
Kuwapa wabunge mishahara hii ya sasa
Imagine toka enzi ya Mkapa mishahara ya
Wabunge ndo hii hii na bado hadi leo tunalia ipunguzwe..

Kutokulipa Kodi kwa Rais Hadi wabunge Hadi ma DC...yote haya ya Mkapa...

Watoto wa juzi mmeanza tena kusifia watu kwa kupewa mazuri Yao Tu bila ku balance mapungufu Yao makubwa..ndo maana hata wengine mnataka wajengea masanamu
Mauaji ya wapemba waliokimbilia shimoni Mombasa ndio maana hata kwenye kitabu chake amekiri,huyo kafa na damu za watu sana.
 
Hizi asilimia umepima kwa vigezo vipi na term and conditions vimezingatiwa mkuu?😂

Ila huyo mwamba uliyempa 25% alitafuna nchi na washkaji zake wallah
Na huyo wa 25% ndiyo simkubali kabisa.
 
Kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake. Mimi binafsi bado sijaona Rais bora aliyewahi kutokea tangu uhuru mpaka leo, bado hajatokea.

Wote waliopita kuanzia Nyerere hadi huyu mama yenu hakuna ninaye weza kumpatia sifa zinazoshahili. Wote ni bure kabisa.
Ninashauri wahi Mirembe ukaanze Tiba.
 
Back
Top Bottom