Ni kwasababu alikuwa na Akili sana, siyo Mnafiki, Msomaji mzuri, hakuogopa Kukosolewa, alijiamini na hakuwa Muongo kama wengine

Ni kwasababu alikuwa na Akili sana, siyo Mnafiki, Msomaji mzuri, hakuogopa Kukosolewa, alijiamini na hakuwa Muongo kama wengine

Huyu jamaa hata mimi nimemshangaa yaan katoa hoja nzuri tu lakini tatizo anataka wooote tutembee kwenye mawazo yake ukitofautiana naye basi unakashifiwa au unatukanwa sasa sijui maana ya mjadala huru nini , kujua kwingi na kuona unaweza kufikiri vizuri zaid kuliko wenzio wote nayo ni aina fulan ya ulemavu.
Na wala sitobadilika pia katika hili sawa?
 
Hapana kuna maeneo kaanza vyema ila anachokosea tu na Kunikera zaidi ni Kumsikiliza Mharibifu wa Taifa hili la Tanzania hasa Kimaadili na Kiutendaji badala ya kukaa nae mbali tena Kumuepuka kabisa.
Msisingizie watu, msishabikie ngonjera, Msizungumze porojo za vijiweni kwa uhakika,

mna uthibitisho kwamba huyo mzee mnayemsema ndiyo mshauri wake mkuu?
 
Kwa maana hiyo wastani wa marks/year.
Nyerere miaka 24----->95%÷24~3.96%

Mwinyi miaka 10------>40%÷10=4%

Mkapa miaka 10------->90%÷10=9%

Kikwete miaka 10------>25%÷10=2.5%

magufuri miaka 5.4----->75%÷5.4~13.9%

Samia miaka 0.3-------->5%÷0.3~16.7%

hivyo wastani kwa mwaka nani kaperform zaidi?
Hii hesabu ndiyo ile inayoitwa MAGAZIJUTO?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tanzania imewahi kuwa na Rais aitwae Magufuri? Hopeless hebu acha Kunipotezea muda tafadhali na huna Ubongo wa Kujenga Hoja nami kama hata tu Kuandika vyema ( sahihi ) jina la Rais hujui.
Kuna hoja ya kuangalia hapa kama intellectuals
 
Mkapa alikuwa haogopi mijadala ya kimataifa- Rais
@SuluhuSamia

Chanzo: EastAfricaTV

Ninachojua tu GENTAMYCINE ni kwamba Siku zote ukiwa na Akili sana, Unajiamini, Msomi na Msomaji mzuri wa Vitabu, una 'Exposure' ya Kutosha, siyo Mnafiki wala Muoga, Mcha Mungu hasa na siyo Mchanganya Mungu na Majini ya Baharini, Mshamba na Mbinafsi hata Watu wa Kimataifa nao Watakuheshimu mno tu.

RIP sana Rais wangu Bora kabisa wa Pili kuwahi kutokea nchini Tanzania Hayati Benjamin William Mkapa 'Makuwa Genius' ukitanguliwa na Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere 'Zanaki Genius' na Kiukweli si tu huwa nawakumbuka bali nawalilia zaidi kwani mliifanya Tanzania iheshimike si tu Afrika bali hata duniani kote.
Msee ya Lupaso
 
Ukiniambia nisahihishe Tawala zote za Tanzania Kitaaluma haya ndiyo Matokeo yangu na naomba yaheshimiwe tafadhali....

Nyerere 95%

Mwinyi 40%

Mkapa 90%

Kikwete 25%

Magufuli 75%

Samia 5% mpaka sasa

Ukichukia jikaangie tu Sumu unywe Ufe.
Yaani mwehu unampa sabuni?
 
Ukiniambia nisahihishe Tawala zote za Tanzania Kitaaluma haya ndiyo Matokeo yangu na naomba yaheshimiwe tafadhali....

Nyerere 95%

Mwinyi 40%

Mkapa 90%

Kikwete 25%

Magufuli 75%

Samia 5% mpaka sasa

Ukichukia jikaangie tu Sumu unywe Ufe.
Duuu kwa miaka 5 mtu ana 75 vs mtu wa/miaka 10
Ma 20

Jpm hakika ni alama
 
Ukiniambia nisahihishe Tawala zote za Tanzania Kitaaluma haya ndiyo Matokeo yangu na naomba yaheshimiwe tafadhali....

Nyerere 95%

Mwinyi 40%

Mkapa 90%

Kikwete 25%

Magufuli 75%

Samia 5% mpaka sasa

Ukichukia jikaangie tu Sumu unywe Ufe.
Hizi asilimia umepima kwa vigezo vipi na term and conditions vimezingatiwa mkuu?😂

Ila huyo mwamba uliyempa 25% alitafuna nchi na washkaji zake wallah
 
Ukiniambia nisahihishe Tawala zote za Tanzania Kitaaluma haya ndiyo Matokeo yangu na naomba yaheshimiwe tafadhali....

Nyerere 95%

Mwinyi 40%

Mkapa 90%

Kikwete 25%

Magufuli 75%

Samia 5% mpaka sasa

Ukichukia jikaangie tu Sumu unywe Ufe.

Magufuli 0%
 
Ukiniambia nisahihishe Tawala zote za Tanzania Kitaaluma haya ndiyo Matokeo yangu na naomba yaheshimiwe tafadhali....

Nyerere 95%

Mwinyi 40%

Mkapa 90%

Kikwete 25%

Magufuli 75%

Samia 5% mpaka sasa

Ukichukia jikaangie tu Sumu unywe Ufe.

Ukiniambia nisahihishe Tawala zote za Tanzania Kitaaluma haya ndiyo Matokeo yangu na naomba yaheshimiwe tafadhali....

Nyerere 95%

Mwinyi 40%

Mkapa 90%

Kikwete 25%

Magufuli 75%

Samia 5% mpaka sasa

Ukichukia jikaangie tu Sumu unywe Ufe.
EXCELLENT
 
..binafsi namuunga mkono Mkapa kwa kubinafsisha mashirika yaliyokuwa yakitutia hasara na kuwa mzigo kwa walipa kodi.

..ubinafsishaji haukufaulu kwa asilimia 100, lakini kwa maoni yangu ulikuwa na mafanikio kuliko mapungufu.

..Kazi kubwa aliyoifanya Mkapa ni kuiwezesha Tanzania kupata ahueni ya mzigo wa madeni yasiyolipika tuliyokuwa tukidaiwa.

..Msamaha wa madeni uliopatikana wakati wa ndio ulioziwezesha serikali za Kikwete na Magufuli kuwa na uwezo wa kutekeleza miradi mikubwa ya maendeleo.

..kosa la Mkapa lilikuwa ktk sera ya madini. Kama nchi hatukuwa na uelewa mpana kuhusu uwekezaji ktk sekta ya madini, hasara na faida zake.

..Namlaumu Mkapa kwa kutokuwa muangalifu na kuwaamini kupita kiasi wawekezaji ktk sekta ya madini.

..Jambo lingine lililoutia doa utawala wa Mkapa ni mauaji ya wananchi wa Unguja na Pemba kutokana na sintofahamu ya uchaguzi mkuu. Ukiacha mauaji hayo, pia kulikuwa na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu kwa wananchi wa Pemba na zaidi wafuasi wa chama cha CUF.
Lakini aliyeachiwa deni dogo la TAIFA alishindwa kuendeleza nchi akabaki mtembezi na kula bata ughaibuni na washkaji zake.
 
Back
Top Bottom