Ni kwasababu alikuwa na Akili sana, siyo Mnafiki, Msomaji mzuri, hakuogopa Kukosolewa, alijiamini na hakuwa Muongo kama wengine

Ni Watanzania wachache sana na ambao ni Werevu kama Wewe hivi ndiyo wanajua Mchango wa Rwanda kama nchi na Wanyarwanda kama Raia katika Kufanikisha 'Intelligence Interests' za Tanzania kwa Mataifa mengine ya Ukanda wetu huu.

Tatizo Mkuu ni kwamba kuna Kiongozi Mmoja Mpuuzi na Mswahili alikuwa na Chuki zake Binafsi na Rais 'Genius' Kagame hivyo kwa kuhalalisha Hasira zake akavitumia Vyombo vya Habari vya Tanzania ( ambavyo vingi vimejaa Unafiki na Upumbavu mwingi ) vije na 'Agenda' iliyo 'Maalum' ya Kuichafua Rwanda, Wanyarwanda na hasa hasa Rais wake Paul Kagame.

Hivi Rais Paul Kagame angekuwa mbaya hivyo au hafai angekuwa ni Kipenzi cha Utendaji, Mkakati na Ujasusi uliotukuka kwa Marais makini na wanaojitambua kama akina Nyerere na Mkapa?

Kuna muda huwa siwaelewi Watanzania.
 
Mbona Mnamnanga magufuli kupitia mkapa memorial day
 
Ukiniambia nisahihishe Tawala zote za Tanzania Kitaaluma haya ndiyo Matokeo yangu na naomba yaheshimiwe tafadhali....

Nyerere 95%

Mwinyi 40%

Mkapa 90%

Kikwete 25%

Magufuli 75%

Samia 5% mpaka sasa

Ukichukia jikaangie tu Sumu unywe Ufe.
Huyo wa 25% umempa nyingi sana mkuu. Alistahi 5%,mipango mingi alikua anapanga,utekelezaji 0. Magu kaja kaipiga yote kwa miaka mi 5 tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aliuza migodi yote ya dhahabu. aliwafukia wachimbani wa bulyankhulu wakiwa hai, alihusika na EPA, MEREMETA, DEEP GREEN, alimuua gen. kombe kikatili
 
Mkapa alikuwa mwizi, enzi zake we popoma ulikuwa hujabalehe
 
Ukiniambia nisahihishe Tawala zote za Tanzania Kitaaluma haya ndiyo Matokeo yangu na naomba yaheshimiwe tafadhali....

Nyerere 95%

Mwinyi 40%

Mkapa 90%

Kikwete 25%

Magufuli 75%

Samia 5% mpaka sasa

Ukichukia jikaangie tu Sumu unywe Ufe.
Mbaguzi wa Dini wewe
 
Yaani kunawatu vigeugeu kweli hata mfanyeje hakuna zaidi ya JPM R. I. P JPM
 
Pole!
 
Ukiniambia nisahihishe Tawala zote za Tanzania Kitaaluma haya ndiyo Matokeo yangu na naomba yaheshimiwe tafadhali....

Nyerere 95%

Mwinyi 40%

Mkapa 90%

Kikwete 25%

Magufuli 75%

Samia 5% mpaka sasa

Ukichukia jikaangie tu Sumu unywe Ufe.
Magufuli 0%.
 
Kulikuwa Kuna kutoa maoni kwa uwazi enzi za mkapa? Kwenye kutoa maoni kwa uwazi mkapa na Magufuli wana utofauti gani?
 
Mbona Mnamnanga magufuli kupitia mkapa memorial day
Unaweza Kunionyesha ni wapi katika 'thread content' yangu nimemnanga Rais wangu wa Tatu Kiubora baada ya Nyerere na Mkapa Hayati Dkt. Magufuli?
 
Aliuza migodi yote ya dhahabu. aliwafukia wachimbani wa bulyankhulu wakiwa hai, alihusika na EPA, MEREMETA, DEEP GREEN, alimuua gen. kombe kikatili
Kwahiyo Watu walikufa tu 'Kimafia' awamu ya Mkapa ila za Mwinyi na Kikwete hakuna Watanzania waliouwawa 'Kimafia' hivyo?

Msinitibue nikasema hapa 'Mauwaji' ya 'Kimafia' yaliyotokea awamu za Mwinyi na Kikwete Wanafiki na Wapuuzi wakubwa nyie.
 
Mkapa alikuwa mwizi, enzi zake we popoma ulikuwa hujabalehe
Sasa kama nilianza 'Kubaiolojiana' na aliyekuleta duniani Kipindi cha Mkapa hadi Kumridhisha nilikuwa nakojoa Upepo tu au?
 
Huyu jamaa hata mimi nimemshangaa yaan katoa hoja nzuri tu lakini tatizo anataka wooote tutembee kwenye mawazo yake ukitofautiana naye basi unakashifiwa au unatukanwa sasa sijui maana ya mjadala huru nini , kujua kwingi na kuona unaweza kufikiri vizuri zaid kuliko wenzio wote nayo ni aina fulan ya ulemavu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…