Ni kweli Adam na Hawa waliishi miaka takribani 900?

Mkuu haya matusi mbona hivi? Na kanisani wanafundisha hivi? Kwamba mtu akikutukana na we mtuakane,duh! Nimeogopa aisee...........ni hatari sana hii hata kibinadamu tu ni hatari wala si mpaka maandiko yanasemaje!!

Kila la heri mkuu!!!
 
soma ufunuo 22:16.
Ufunuo 21
“Mimi, Yesu, nimemtuma malaika wangu awathibitishieni mambo haya katika makanisa. Mimi ni mzawa wa ukoo wa Daudi. Mimi ni nyota angavu ya asubuhi!”
Soma Ufunuo 22
Soma isaya 14:12

"jinsi ulivyo anguka toka mbinguni, ewe nyota ya alfajiri, mwana wa asubuhi, jisi ulivyo katwa kabisa ewe uliyeangusha mataifa. "
 
Watukanaji hawataingia mbinguni
 
Soma isaya 14:12

"jinsi ulivyo anguka toka mbinguni, ewe nyota ya alfajiri, mwana wa asubuhi, jisi ulivyo katwa kabisa ewe uliyeangusha mataifa. "
so umekubali kuwa Lucifer ni nyota ya asubuhi na pia yesu vilevile ni nyota ya asubuhi na hivyo Lucifer ndo yesu?
 
tatizo huna yesu, ukiwa na yesu hayo matusi yote yanaruhusiwa na mbinguni unaenda.. hatari sana [emoji1] [emoji1]
Jifunzeni kutoka kwa Yesu maana ni mpole na mnyenyekevu
 
Jifunzeni kutoka kwa Yesu maana ni mpole na mnyenyekevu
Yesu sio mpole bali alikuwa ni mkaidi sana, Mungu alimpa Yesu mtihani wa Njaa , Yesu alitembea na kukuta mti na alitegemea angekuta matunda ili apoze njaa yake lakini kwa bahati mbaya huo mti hakukuta matunda na hivyo basi Yesu alikasirika sana na kuulaani ule mti usitoe matunda milele
 
Eleza tofauti ya Yesu na Mungu
Yesu ni mtu lakini Mungu ni Mungu,

Mungu haendi haja ndogo wala kubwa lakin Yesu alikuwa anaenda

Mungu hasikii njaa wala hali lakin yesu alikuwa anakula


Mungu hana mama, baba wala mtoto lakin yesu anaye mama



Mungu haombi msaada lakin yesu aliomba msaada "Ewe baba ikiwezekana kikombe hiki kiniepuke walakini si ntakavyo mimi bali wewe, ikiwezekana mapenzi yako yatimizwe"
 
Hapo jibu ni simple sana
Ila cna muda wa ku type
 
so umekubali kuwa Lucifer ni nyota ya asubuhi na pia yesu vilevile ni nyota ya asubuhi na hivyo Lucifer ndo yesu?
Lucifer ni mfalme wa ulimwengu, yesu yupo mbinguni.
 
Fahamu Nuhu alikuwa na special task. So alipaswa kuendelea kuwepo na pia hata katika maisha haya tunayosema binadamu wote ni sawa utagundua si kihivyo kuna watu wana special case. Kama alivyo rais na wewe ambaye ukishakula marahage yako unakuja kutoa gesi kama hii.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…