Mwinjilist mtume nabii
JF-Expert Member
- Feb 21, 2015
- 2,437
- 1,097
Kwny makanisa watapitia wapi??? Wkt kila kitu sisi tunaongozwa na Roho Mt. Labda watakupata ww km utakua bado Hujamwamini Yesu KristoKumbe.yesu.aliletwa na mkolon? Na wakolon.awoawo.ndo wanaoleta ushoga. Je wakileta ushoga kwenye makanisa sasa itakuwaje?
Kwani hicho kitabu mungu ndio alikiandika?Naona broo unakosa la kujadili... Unaposema biblia inauongo unamaanisha kuwa Mungu ndo muongo. kuwenibmakin na kauli mnzaokuw mnatoa juu ya mambo ya Mungu. Mungu hadhihakiwi[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
Sasa ilikuwaje huyo mungu aliwafunulia biblia wazungu tu?Hayo ni mambo ya kiroho mpaka uwe mtu unaewaza kiroho ndo utajua ni kwa nini waliishi Miaka 900 vinginevyo kwa kutumia akili zako za kawaida kuwaza hautakaa upate jibu..Waandishi waliotumiwa kuandika habari za Mungu hawakutumia akili na mawazo Yao kuandika mambo ya Mungu Bali Mungu aliwaongoza kuandika mambo yake Kama alivyotaka na si Kama Waandishi walivyopenda wao
NimekugusaJibu hoja kwa hoja! Kama huna hoja shut-up!
Kifupi mavitabu yote yaliyoletwa kwenye majahazi yana contradiction kibao tu.mtu kuishi miaka 100 tu ni mziki lakini biblia inasema adam na hawa waliishi miaka 900.
je hao walio andika adam na hawa waliishi miaka 900 walitumia kipimo gani?
kiliandikwa kwa uvuvio wa Mungu ,walioandika ni watu wakiweseshwa na roho wa Mungu. Alfi suala la kuish miaka mia tisa linahusiana sana na vyakula walivyokula . Wao walikula nafaka na matunda tofaut na leo watu wanakula hadi vyakula alivyovipinga Mungu. ndo umri wa kuish umepunguaKwani hicho kitabu mungu ndio alikiandika?
Huo ndio uongo tunao ukataa kwasababu hata babu wa loliondo alisema hivyo hivyo kwamba ile dawa alionyeshwa na roho mtakatifi lakini mwisho wa siku watu walioenda kunywa dawa kwake waliishia kufa kama kuku.kiliandikwa kwa uvuvio wa Mungu ,walioandika ni watu wakiweseshwa na roho wa Mungu. Alfi suala la kuish miaka mia tisa linahusiana sana na vyakula walivyokula . Wao walikula nafaka na matunda tofaut na leo watu wanakula hadi vyakula alivyovipinga Mungu. ndo umri wa kuish umepungua
Na akufunulie na makaburi ya adam na hawa yako wapi?Nafunga nianze kuichambua. Vipimo vilivyotumika ni ufunuo ambao Mungu alimfunulia mwandishi
Babu yangu kafariki juzi akiwa kafikisha 100 kamilimtu kuishi miaka 100 tu ni mziki lakini biblia inasema adam na hawa waliishi miaka 900.
je hao walio andika adam na hawa waliishi miaka 900 walitumia kipimo gani?
Ufunuo si jambo la kuforce anaweza kukufunulia ata wewe.Na akufunulie na makaburi ya adam na hawa yako wapi?
Iyo Biblia yako naipenda nipe jina lake nikaidownload
Huo ndio uongo tunao ukataa kwasababu hata babu wa loliondo alisema hivyo hivyo kwamba ile dawa alionyeshwa na roho mtakatifi lakini mwisho wa siku watu walioenda kunywa dawa kwake waliishia kufa kama kuku.
Na kama ni swala la kula vyakula vya asili basi watu wa vijijini wangekuwa wanaishi hata miaka 200.
Nafunga Roho ya atheism ktk jina la Yesu.
Tena ninaamuru kwa jina la Yesu hiyo smartphone iwe ya mwisho kuimiliki
Unaemkufuru Roho Mtakatifu
Watu wote tuseme Amina.
In the name of KING LUCIFER AND HIS YOUNG BROTHER SATAN let this spell to perish.Tena ninaamuru kwa jina la Yesu hiyo smartphone iwe ya mwisho kuimiliki
Unaemkufuru Roho Mtakatifu
Watu wote tuseme Amina.