Ni kweli Adam na Hawa waliishi miaka takribani 900?

Wewe umekariri unatetea usichokijua heri ya uyo mpagani amaejitambua kuliko wewe unaetetea usilolijua
 
Lakini wapendwa msilisahau hili kwamba kwa Bwana, SIKU MOJA SAWA NA MIAKA ELFU na MIAKA ELFU SAWA NA SIKU,(2PETRO 3:8, ZABURI 90:4)
USIJI ANGAISHE KUMJIBU MTU KAMA HUYU....VITABU VYOTE VITAKATIFU VINA NGUVU YAKE. ...HUYU MTU MWACHIE MWENYE ENZI MUNGU AJIDHIHIRISHE KWAKE. ...MUNGU MKUU HAPENDI KUSAIDIWA. ...
 
Reactions: wa4
tangu kuumbwa kwa dunia miezi ni kumi na mbili.kuhesabiwa miezi kumi na mbili haijanza leo huo ni mpango wa mungu.quran inasema hivyo.lkn nuhuu aliishi miaka 950
Acheni uongo dunia na jua viliumbwa mlikuepo
 


Hahahahahahaaaaaa!!! nimebaki kucheka tyuu!!!! Kweli nimeamini Bible imewapoteza wengi.
Hail SATAN & LUCIFER THE KING
( full freedom to ask & think)
 
Haiitaji hasira wala matusi dhihirisheni imani zenu kwa kusimamia point of view yaani hoja na sio matusi
 
Sasa ilikuwaje huyo mungu aliwafunulia biblia wazungu tu?
Ili waje watutawale sisi. inamaana huyo mungu sisi watu weusi alikua hatupendi?

huwa nawakubali sana watu wanaopenda kujua ukweli.. ipo hivi, mungu alifahamu kabisa ukoloni na mambo ya kitumwa, IN FACT, yeye ndiye muanzilishi wa utumwa na ukoloni..

AGANO AMBALO MUNGU ALIWEKEANA NA IBRAHIMU:

MWANZO 17:3-5
"Abrahamu akaanguka kifudifudi, mungu akamwambia akasema, mimi agano langu nimefanya nawe, nawe utakua baba wa mataifa mengi. wala jina lako hutaitwa tena Abrahamu, lakini jina lako litakuwa Ibrahimu, kwani nimekuweka uwe baba wa mataifa mengi."
Ibrahimu angewezaje kuwa baba wa mataifa mengi bila kuvamia na kufanya makoloni katika hayo mataifa?

MWANZO 17:8
"nami nitakupa wewe na uzao wako baada yako nchi hii UNAYOIKAA UGENI, nchi yote ya kanaani, kuwa milki ya milele, NAMI NITAKUWA MUNGU WAO"
unaona kabisa Ibrahimu alikua sio mzaliwa wa kanaani, alikua ni mgeni pale, ila mungu akamuahidi atapindua utawala wa kanaani na kufanya kuwa milki ya milele ya Ibrahamu, na mungu wa Ibrahimu atakua mungu wa watu wa kanaani.. story hii inafanana kabisa na uvamizi wa wazungu katika nchi za afrika, na mungu wao amekuwa mungu wetu..

MWANZO 17:13
"mzaliwa nyumbani mwako, NA MNUNULIWA KWA FEDHA YAKO, lazima atahiriwe, na agano langu litakuwa katika mwili wenu, kuwa agano la milele.
unaona kabisa hapa mungu anaongelea swala la kununua watu, yani biashara ya utumwa, mungu anamwelekeza Ibrahimu kuwa hata hao watu atakaowanunua kama watumwa lazima watahiriwe. SISI TUNAKAA HAPA TUNASEMA MZUNGU ATAKUJA KUHUKUMIWA SIKU YA MWISHO KWA KUTUFANYA WATUMWA, WAKATI MUNGU ALIWARUHUSU KABISA WAFANYE HIVYO..

KWA HIO MZUNGU MPAKA KUJA KUVAMIA BARA LA AFRIKA NI KAMA ALIPEWA MWONGOZO NA MUNGU WAO AFANYE HIVYO..

ukweli unauma ila vumilia tu.
 
Wewe umekariri unatetea usichokijua heri ya uyo mpagani amaejitambua kuliko wewe unaetetea usilolijua
Hapo umenena mkuu ,naongezea
Ni rahisi sana mchawi ,mwizi,muongo na mzinzi kuingia mbinguni .
Asiyejua kitu kuhusu mungu na vitabu vitakatifu yu karibu na ukweli.
 
USIJI ANGAISHE KUMJIBU MTU KAMA HUYU....VITABU VYOTE VITAKATIFU VINA NGUVU YAKE. ...HUYU MTU MWACHIE MWENYE ENZI MUNGU AJIDHIHIRISHE KWAKE. ...MUNGU MKUU HAPENDI KUSAIDIWA. ...
Guys when are you going to believe kuwa tuliletewa dini ili tutawaliwe of all those place y africa!!?
 
mtu kuishi miaka 100 tu ni mziki lakini biblia inasema adam na hawa waliishi miaka 900.
je hao walio andika adam na hawa waliishi miaka 900 walitumia kipimo gani?
Swali la kitoto, ungeuliza labda je Adam na Hawa ndo binadamu wa kwanza kuishi kutokana na biblia au je biblia iliruhusu watoto kumlala mama yao kama Adam na Hawa ni binadamu wa kwanza??
 
mtu kuishi miaka 100 tu ni mziki lakini biblia inasema adam na hawa waliishi miaka 900.
je hao walio andika adam na hawa waliishi miaka 900 walitumia kipimo gani?
Thibitisha kwamba ni uongo
 
Mbona visa vyako na hoja zako havifanani ata kwa macho na uelewa wa kawaida tu, umeshindwa kabisa kutetea hoja zako kupitia hicho kitabu?? Kwaiyo huyo mungu alijua wazungu na waarabu ndio wanaofaaa hawa wengine hawafai... Si ndio hahhaa emb acheni story zenu za kizamani yaaani mmeshindwa kutafuta history yenu ya asili juu wazungu walitumia nguvu gani kuwekeza kwenye hichi mnachokiita leo mungu wa kweli nakuja na drama duuuh hahaha kwa kweli
 
sijakana uwepo wa mungu, ila uwepo wa mungu huyu wa kikristo, there's no way you can tell me wazee wangu na mababu wote wa kiafrika waliofariki kabla ya kuja kwa ukristo wapo motoni kisa hawakumjua yesu alieletwa na mkoloni.
Kuna mtu kakuambia hivyo??
 
Nafunga Roho ya atheism ktk jina la Yesu.
Mtu ukiuliza why hiki kiko hivi?, unaitwa atheist,.

Jotu weka tabia ya kuhoji, na siyo kukubali kila unaloambiwa.

"Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa" - biblia
 
Wewe ni lipumbavu la kutupwa. Tena utakufa kifo cha fedheha mzog wa mbwa wewe usiye na ufahamu. Pumbavu kwelikwlei. Ungelikuwa akili japo kidogo usingeongea upumbavu ambao hata tu elimu ya darasani inatoa jibu. Pumbavu kafie mbali zoga la mijibwa!

mkuu, kwa maneno hayo mpaka hapo umeshafanya jambo la kishetani.. kwa hayo matusi na hizo laana unazomtupia jamaa halafu unasema unamwabudu yesu!! inastaajabisha..
 
Mtu ukiuliza why hiki kiko hivi?, unaitwa atheist,.

Jotu weka tabia ya kuhoji, na siyo kukubali kila unaloambiwa.

"Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa" - biblia
Nimehoji mengi mbona? Fuatilia uzi
 
hakika wewe jina lako Ibrahimu.
 
according to Jesus, hakuna anaeweza kufika mbinguni isipokua kupitia yeye.. yani hata mchina mhindi mwarabu hawasalimiki maana wao wanaabudu buddha, Allah na krishna. yani dunia nzima inabidi tuwe wakristo ili twende mbinguni... hatari sana
Kingine huyo yesu wao aliacha watu waangamie afu ndio aje talkin of billion of people kifukiwa mchangani ndio akaja kuukomboa ulimwengu si vichekesho hivyo haha
 
mtu kuishi miaka 100 tu ni mziki lakini biblia inasema adam na hawa waliishi miaka 900.
je hao walio andika adam na hawa waliishi miaka 900 walitumia kipimo gani?

Kwani wewe umepima kipindi icho miaka ilikiwa inahesabiwaje??

Go back to school maana ninyi mnaonekana hamjui anno domino na before Christ , Fanya utafiti kabla hujaongea chochote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…