Ni kweli Askari Polisi wengi hawana ajira za kudumu? Ni kama vibarua?

Askari yoyote unaemjua wewe,iwe askari polisi,mwanajeshi,magereza,zimamoto,wqle wa TANAPA. Hakuna askari mwenye ajira ya kudumu isipokuwa hufanya kazi kwa mkataba wa kati ya miaka sita hadi kumi.
Shukrani sana
 
Mbona wengi wastaafia huko?
Inamaana mwisho wa mkataba ukifika anaangaliwa kama anafaa kuendelea na mkaba mwingine ndyo maana unaona mtu anapewa mkataba mpya mpaka umri wa kustaafu unafika akiwa kazini.

Jeshini ni kitu cha kawaida kukuta askari anastaafishwa kwa lazima. Hii inamaanisha kama akiongezewa mkataba mwingine atashindwa kutimiza majukum yake kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo afya,umri na vitu vingine vingi.
 
ofisa anayetambulika ni nyota 3 na kuendelea.labda ungesema mtumishi mwajiriwa ni kuanzia nyota 1 na kuendelea.

ila kuna Afisa wa polisi.
huyu ni askari yeyote wa polisi unayemuona.
Sijui hata ulichoandika bwana Mkorinto[emoji1745]naomba unipe tofauti ya Police Officer na Mtumishi Mwajiriwa. Kwa uzoefu wangu wa tangu naingia DEPO CCP,nafanya kazi kama Polisi na kuisoma PGO,Police Officer ni kuanzia Nyota Moja na kuendelea,kabla ya Nyota Moja hao huitwa Rank and File japo nao ni Polisi. Sasa ukitaka kujua kwa nini hivyo ingia kwenye PGO soma utapata ufafanuzi wote. Na hata uki-google to Rank and File utapata ni Mtumishi yeyote kwenye Vyombo vya Ulinzi ambaye hajafikia ngazi ya Uofisa
 
Rank and File
 

sijapingana nawewe mkuu,niliongezea tu.
kwamba ni kweli kuna watumishi chini ya nyota moja RF.halafu kuna waajiriwa rasmi yaani nyota moja na kuendelea.
kwa maelezo mepesi ni kwamba hao hata idhini ya ajira yao inatoka kwa katibu mkuu utumishi.


hawa maofisa pia wana madaraja pia,afisa rasmi anayetambulika mpaka na gazeti la serikali ni nyota 3 kuendelea.
 
Askari yoyote unaemjua wewe,iwe askari polisi,mwanajeshi,magereza,zimamoto,wqle wa TANAPA. Hakuna askari mwenye ajira ya kudumu isipokuwa hufanya kazi kwa mkataba wa kati ya miaka sita hadi kumi.
Ndo leo najua hili, sasa mbna wengne had wanastaafu inakuaje?
 
Kwer kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…