Ni kweli Askari Polisi wengi hawana ajira za kudumu? Ni kama vibarua?

Ni kweli Askari Polisi wengi hawana ajira za kudumu? Ni kama vibarua?

ofisa anayetambulika ni nyota 3 na kuendelea.labda ungesema mtumishi mwajiriwa ni kuanzia nyota 1 na kuendelea.

ila kuna Afisa wa polisi.
huyu ni askari yeyote wa polisi unayemuona.
Hatimaye konstebo wa polisi amekuja kutetea
 
Polisi na tpdf cha mtoto, Magereza unafukuzwa kazi na mkuu wa kambi bila kuomba kibali kwa RPO au kamishna mkuu
Wataishia kupewa taarifa tu
 
Yani mnaacha kufanya kazi mnaingia vijiweni asubuhi yote hii alafu mnalalamika maisha magum
kwa tz yetu unategemea nn kama hata uachinga wanazuia ? serikali ndo sabab ya hao vijana kukaa vijiwen
 
Polisi na tpdf cha mtoto, Magereza unafukuzwa kazi na mkuu wa kambi bila kuomba kibali kwa RPO au kamishna mkuu
Wataishia kupewa taarifa tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaah
 
Daah, kumbe Bora walio chini ya Tamisemi mfano watu wa kada ya elimu na afya ambao automatically ni permanent and pensionable yaani Hadi ufukuzwe Basi tume ya utumishi wa walimu au mabaraza ya idara husika wawe wamejiridhisha hakuna Cha DED Wala nani. Nimelazimika kuuliza wadau ndio nimejua utumishi una itifaki zinazotufautiana Sana
 
Nchi zilizoendelea Polisi na wanajeshi sio kazi za kudumu.
Umesema vyema. Hata hapa ni hivyo hivyo. Wakudumu ni officer tu. Na wengine watauliza kwani officer si askari. Ndiyo si askari.
 
Back
Top Bottom