Road Traffic Signal
JF-Expert Member
- Mar 17, 2022
- 621
- 1,958
Hatimaye konstebo wa polisi amekuja kuteteaofisa anayetambulika ni nyota 3 na kuendelea.labda ungesema mtumishi mwajiriwa ni kuanzia nyota 1 na kuendelea.
ila kuna Afisa wa polisi.
huyu ni askari yeyote wa polisi unayemuona.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] watakuja kubishaPolisi na tpdf cha mtoto, Magereza unafukuzwa kazi na mkuu wa kambi bila kuomba kibali kwa RPO au kamishna mkuu
Wataishia kupewa taarifa tu
kwa tz yetu unategemea nn kama hata uachinga wanazuia ? serikali ndo sabab ya hao vijana kukaa vijiwenYani mnaacha kufanya kazi mnaingia vijiweni asubuhi yote hii alafu mnalalamika maisha magum
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaahPolisi na tpdf cha mtoto, Magereza unafukuzwa kazi na mkuu wa kambi bila kuomba kibali kwa RPO au kamishna mkuu
Wataishia kupewa taarifa tu
Umesema vyema. Hata hapa ni hivyo hivyo. Wakudumu ni officer tu. Na wengine watauliza kwani officer si askari. Ndiyo si askari.Nchi zilizoendelea Polisi na wanajeshi sio kazi za kudumu.
🤣🤣 Daaah ni kipengele mwanangu na maisha ya jeshi jnc yalvo daaahHao majeshi kuna Kipind walikuwa na probation mpaka miaka 5 na unakaa kota ,ukizingua unatemwa kweupe.