Ni kweli Cleopatra, mwanamke mrembo kuliko wote duniani alikuwa wa Misri?

Mkuu unadanganya mno nefettit ni mwingine mkuu

Uko sahihi ..Queen Nefertiti alikuwa ni malkia, mke wa Pharaoh Akhenaten.Alitawala miaka 1300 kabla ya Yesu kuzaliwa.(1370-1330BC)
Sanamu yake (bust) iliyokutwa katika pyramid alimozikwa iko Ujerumani. Nefertiti alikuwa Malkia mweusi.

Misri ilivamiwa na wageni wengi.Cleopatra anatokana na koo za wageni waliovamia Misri na alizaliwa mwaka 69 (kabla ya yesu kuzaliwa..yaani 69BC). Baba yake alikuwa mfalme PtolemyXII mwenye asili ya Wagiriki wa Macedonia(Europe).Ila inasemekana mama yake alikuwa mwafrika.
Cleopatra alitawala Misri akishirikiana na babayake,na baadae akatawala na kaka yake. Alishirikiana na Julius Caesar kumuondoa kaka yake.
Picha karibu zote za Cleopatra ni feki. kwasababu hazina uthibitisho wa sanamu kama wa Queen Nefertiti.
 
Hakika Creopatra aliumbika
Ukweli utabaki kuwa ukweli
Hata na nyimbo aliimbiwa.
Wafalme wa nji mbali mbali walikwemda kumuona malkia Creopata mm nimeadithiwa na mshua.

Hizo sawa na hadithi za kina maradona tu,watu wazamani wanatudanganya kama hapajawahi kutoke wachezaji aina ya maradona na pele,lakini huo ni uwongo kabisa,vijana wa sasa wanapiga soka zaidi ya kina maradona lakini sifa zimebaki kwa kina maradona tu,ndo sawa na huyo cleopatra tu hakuwa na uzuri wowote wa ajabu bwana,
siku hizi kuna visu vya hatari mtaani kama kashuka mtoto ukimuona
 
Kuna dada alikuwa mabibo hostel miaka ya mid 2000 jina lake linaanziwa na S. Nadhani huyu alikuwa mwisho wa yote
 
""Dubenga"" wapi huko?
 
Historia nzuri sana
 
m nliwah muona mtoto mmoja alikuwa anasoma iringa girls 2008 alikuwa anaitwa evatha...cjawahi ona alikua kisu balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…