Eeeh, kumbe uzuri wake wa kuchora kama katuni za gazeti la saniAcheni nyinyi, siku hizi kuna makeup, digital cameras na vinginevyo hata mwanamke awe mmbaya kama Remmy atatengenezwa awe mzuri. Cleopatra hakuwahi kupigwa picha, alichorwa. Kilikua kifaa si cha kawaida.
Eeeh, kumbe uzuri wake wa kuchora kama katuni za gazeti la sani
Hivi anamzidi Angelina Jolie kwa uzuri??? Angelina jolie ana hamasa kubwa kucheza script avae uhusika wa Cleopatra... Soma hapo chini
Angelina Jolie Dying to Play Cleopatra — 6 Actresses Who've Previously Taken On the Role - Closer Weekly
Acheni nyinyi, siku hizi kuna makeup, digital cameras na vinginevyo hata mwanamke awe mmbaya kama Remmy atatengenezwa awe mzuri. Cleopatra hakuwahi kupigwa picha, alichorwa . Kilikua kifaa si cha kawaida.
Nashangaa. Au wanawake wengine walikuwa hawaonekaniTunajifunza historia ili tuelewe maisha ya sasa na kuboresha maisha yajayo, waliosimulia wanaelezea uzuri wake, kwani alikua mwanamke peke yake?
Hahahaha mkuu umenichekesha ua crazy[emoji23] [emoji23]Tatizo Angelina ukimpa role ya ulimbwende atataka aanza kubatua wenzie na mateke kama alivyozoea
huu ni ugomvi kwa kweli ngoja wajeWaliposema "Hakuna mwanamke mrembo kama Cleopatra walishafanya utafiti.
Wakazipima akili za mwendelezo wa binadamu wakabaini kuwa:-
Wanaume wenye sura ngumu wengi wao ndio watamiliki uchumi mkubwa,
Hivyo watakuwa na uwezo wa kununua katika vilivyo bora kabisa,
Kwa kuwa mara nyingi (sijui kwa nini) watoto wa kike wengi wao hufanana na baba zao, mwendelezo wa ubora wa warembo utazidi kudorora na kushindwa kuufikia ubora wa Cleopatra kwani watoto wa kike wanasadifu sura ngumu za baba zao.
Nawasubirihuu ni ugomvi kwa kweli ngoja waje
hahaha hahaha ujmejipanga sio.Nawasubiri
Mfano halisi ni yule jamaa aliye RIP alivyokuwa anamchukua yule mtoto aliye m brain concosion yule gwiji wa masenema.hahaha hahaha ujmejipanga sio.
Cleopatra hakuwahi kuwa mzuri kumshinda Queen of Sheba!Habari wanajamii forum
Katika historia ya ulimwengu huu nasikia kulitokea mwanamke mmoja mzuri sana aliyeitwa CLEOPATRA ambaye alikuwa mtawala wa misri,na inasemekana hatakuja kutokea mwanamke mzuri tena kama CLEOPATRA,sasa nilikuwa naomba kwa wanaofahamu historia yake vixuri sana watuelezee ili tupate cha kujifunza kuhusu huyu CLEOPATRA
Ethiopia alikua Queen of Sheba (black)Hivi ni misri au Ethiopia?