Ni kweli Cleopatra, mwanamke mrembo kuliko wote duniani alikuwa wa Misri?

Nyie sifien mashetan kuwa Ni warembo?
Umesoma historia yake vizur?
 
aishwarya rai
super natural beautiful indian lady..
usiwaamini sana waarabu na wazungu..
wanapenda kujisifu mno..
walituita washenzi wakati sisi waafrika kupitia imani zetu za asili ndio watu tuliokua tukijibiwa haraka zaidi maombi yetu kwa Mungu kuliko kupitia imani zao za kupanga..
lakini bado walijiita wao bora.
 
kuna mtoto yupo nmb mwanza sijawahi kuona hapa duniani hapa dunian alivyo kisu.
Sema hujawahi kuona huko mwanza, usiseme duniani umefika venezuela ww? Hapo rwanda tu kwa kagame ukifika utachanganyikiwa
 
Hakika Creopatra aliumbika
Ukweli utabaki kuwa ukweli
Hata na nyimbo aliimbiwa.
Wafalme wa nji mbali mbali walikwemda kumuona malkia Creopata mm nimeadithiwa na mshua.
Na ww unaamua kutuadithia na sisi?
 
mshua
Hakika Creopatra aliumbika
Ukweli utabaki kuwa ukweli
Hata na nyimbo aliimbiwa.
Wafalme wa nji mbali mbali walikwemda kumuona malkia Creopata mm nimeadithiwa na mshua.
mshua wako kwani alikuwepo au naye kahadithiwa?? mshua wako muongo huyo
 
maandishi matatu ni wapi? Au r.i.p?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…