Ni kweli Dereva alimuacha Nape akiwa Ukumbini Mlimani City baada ya kupata taarifa bosi wake ametumbuliwa?

Ahsante sana kwa Ufafanuzi na mfano hai
 
Kwa hio alirudi na Boda Boda au uber
 
Ahsante sana kwa Ufafanuzi na mfano hai
Dereva anabeba Mamlaka/cheo/nafasi habebi mtu. Hiki wengi hawajui na huwa wanawalaumu madereva wanapotimiza wajibu wao. Kumchukua kuongozi aliyekwisha tumbuliwa atafanya kimahusiano na sio kiutaratibu.

Sheria na miongozo ya madereva wa viongozi ni kubeba mamlaka/nafasi na sio mtu. Unapotengeliwa, dereva anatakiwa amfuate kiongozi mpya au akiwa hana mawasiliano naye anatakiwa aende ofisi mama (Wizarani,Mkoani, Wilayani n.k)
 
Nchi hii unafiki na umbeya ni mwingi sana
 
Anabadilisha plate namba kutoka wapi? Dereva anatakiwa ampakie Waziri(CHEO) na sio dereva binafsi wa Nape. Hayo ya kubadilisha oale namba ni mahusiano tu.

Alikuwa sahihi.
Kumbuka, mpaka muda huo walikuwa wote field na Waziri alikuwa na kazi ya kiofisi, na documents zote muhimu za wizara anazo kwenye laptop na mkoba wake, unamuachaje bila kuzungatia usalama wa nyataka za serikali? Unatarajia itakabidhi nini ofisini kwa anaye mrithi?
Kuhusu plates namba, madereva wote wa viongozi hadi majaji huwa wanakuwa nazo, waziri/ kiongozi akiwa hayumo namba za title yake huondolewa na kuwekwa za kiraia au kukiwa na hatari ambapo inabidi kiongozi kulindwa namba hubadilishwa.
 
Uzushi tuu
 
YOHANE, YOHANE nakuita Yohane.

Hivi unaweza kuamini jambo kama hilo.
Hakun dereva mjinga kiasi hicho kwa kua nafasi za kisiasa za kiuteuzi hazina guarantee.
Leo kaachwa na kesho karudi huyo dereva atabakuwa wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…