Ni kweli Diamond Platnumz anatumia unga/madawa ya kulevya?

Kipofu tyuuh ndo hajui biffu la harmo na domo,
Dawa ya moto n moto, malipo n hapa hapa duniani,
Heko kwa konde boy.
 
Ungekua ww umeshikwa matako hadharani ungekaa kimya? Au ndo unaongea ilimradi uonekane umetoa mawazo?
 
Mbon bado sana,hawa jamaa kitaumana sana na mbaya zaidi mmakonde sio kama Ali Kiba...hana dogo wala kubwa yeye jino kwa jino kwa lolote na vyovyote vile[emoji51][emoji51]
 
Diamond anatumia unga?? Mwana anakaa stejini masaa mawili anaimba na kucheza hiyo energy anaipata kwenye unga au ??
Unajua nini? Wasanii wengi wa muziki addiction ya madawa waliipata kutokana na ratiba tight ya shows. Unakuta ana mfulukizo wa shows , yale madawa wanatumia kuwa hype wawe active jukwaani, ila baada ya muda magari yanawaka. Fuatilia wasanii wengi wa huko USA kama Rick James.
 

Nimejiuliza niko slow au vipi, maana sijaona msg ya diamond kama inamsema huyo konde direct ila huyo konde kamwagika povu lote lisilo na umuhimu.a whole message of nothing na kuandika hajui. Jamaa mropokaji toka yuko wcb.
Nina wasiwasi kama hata alilipa mil 600 kweli.
 
Coke haina shida aisee, shida ni Hero
Sawa coke haina shida. omba sana isitokee siku moja akaji-overdose akiwa katika depression itakayosababishwa na kuyumba kwake kiuchumi au masuala mengine.

Overdose ya hayo madude haina mswalie mtume, malaika wa kifo huwa hachezi mbali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…