Ni kweli Diamond Platnumz anatumia unga/madawa ya kulevya?

Shule gani iyo?
 
Ulioona Post ya Diamond alivyomkebehi Harmo baada ya Rayvan KU perform zile tuzo?
 
Team Diamond baba yenu ndiyo aliyelianzisha
 
Utakuwa una katwa ukungu na diamond
 
Sorry Kuna tofauti gani Kati ya
protein powder na hiyo unga!??

Huku tukirefer shows za:-

Dmx.

Whitney Houston.(R.I.P)



 
Mmakonde kajistukia tu, Diamond kasema vijana wenzangu tujifunze kua na NIDHAM na FADHILA sanaa zetu zikue tusiishie kwenye MIHADARATI. Tembo kahisi kasemwa yeye katoa bonge la povu
 
Sorry Kuna tofauti gani Kati ya
protein powder na hiyo unga!??

Huku tukirefer shows za:-

Dmx.

Whitney Houston.(R.I.P)
Mkuu protein powder ni vyakula mbali mbali vyenye protein vimesagwa pamoja na kuwa unga. Watu wengi wanaofanya mazoezì ya kujenga mwili hutumia kwani ni rahisi kuliko kununua vyakula vyenyewe na kuvipika.

Hiyo NGADA ni madawa ya kulevya kama sikosei ambayo hata mimi sijawahi kuyaona japo nasikia ukitumia unalewa. Hiyo powder nimeiona sana na wanangu waliokuwa wakitaka kujaza vifua na miili yao kirahisi wameitumia sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…