Ni kweli Diamond Platnumz anatumia unga/madawa ya kulevya?

Haya wala ngada wameanza kucharuana.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
'Mbona da Mange kasema', kwao hiyo inajitosheleza kabisa.
😂😂😂 Acha kabisa mkuu.

Just imagine "da mange" akisema fulani ni shoga basi wanaamini hata bila kuangalia kua huyo mtu na huyo mange wana ugomvi au lah ila si "da mange kasema" 😂😂
 
Unaongea zilipendwa mzee
Kumlipisha mtu ml600 ni kumkomoa ili afeli
Kakulipa ilibidi uwe mpole na umuheshimu
Ni kama mlimalizana kwenye hiyo mia sita ungekuwa gantle ungemuacha bila kumlipisha kwani lebo wametengeneza faida ngapi kupitia hamo yeye mwenyewe hamo anamchango wake pale wcb

Siku hizi mambo ni tofauti ukiwa na kipaji we ni bosi siyo kutuambia watu wanyenyekee wengine bila sababu za msingi kisa nini
Kinachotakiwa ni kuimba ngoma kali tu basi


Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Kama ndo umemfanya anunue gari la billioni kadhaaa basi
To each and their own stuff


Na mafanikio yake sio mbayaa kiviile

Ila huo msemo ndo kuuamini shida kweli maana mtu hajawahi fanya uchizi miaka yote 10 hii

Sent from my SM-G901F using JamiiForums mobile app
 
Kwa sisi wazoefu, ukimtazana Diamond, haraka sana unajua jamaa ana snort cocaine. hilo halina ubishi.

Ila nahisi atakuwa anatumia coc grade A, ile anayotumia tajiri fulani kijana aliyewekeza kwenye timu ya mpira wa miguu.
Coke haina shida aisee, shida ni Hero
 
Ok sawa je jinsi ya kutumia hiyo protein powder na unga ni sawa!?
Wote Wana sniff!??
 
diamond alijiona boss na kujisahau Sasa hivi madogo wengi wanamkimbiza kimziki ila siyo hela .
 
Mambo yao waachieni wenyewe...

Wote wanamgombania Kajala...
 
Sawa unyenyekevu hauna Maana ila walikwepo wengi tu wenye vipaji ila unyenyekevu sifuri naleo hawali matunda ya kazi zao.

Mfano Baraka anakipaji kumshinda harmo ila harmo alibebwa na ukubwa wa kampuni iliyomtoa, lakini Leo baraka anatapatapa tu
 
Twende mbele turudi nyuma konde boy kajistukia aisee.

Mi naona hakukua na haja ya povu kubwa namna hiyo ambalo kiukweli linamshusha yeye na kuonekana ana chuki kweli kweli tofauti na mwenzie ambae hajamsema moja kwa moja. Na bado hatujui mondi alimlenga nani hasa ila konde boy kaonesha wazi wazi kua anamsema boss wake wa zamank.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…