Ni kweli hili shirika wanatoa pesa za bure?

Ni kweli hili shirika wanatoa pesa za bure?

Halafu ni wakenya ndio wanafanya hiyo shughuli na soko lao ni Facebook maana Kuna mang'ombe wengi

Wewe mtoa mada ,inaonekana ni rahisi sana kutapeliwa
Sio rahisi mtu kunitapeli ila nimeleta hapa ili iwe msaada kwa watu wengine
 
Kuna dada ameleta hiyo habari kwene group letu moja la whsp eti ametuma na screenshort yamuamala alioingiziwa, akaliwa kichwa fasta,watu hawatak upumbavu, tumeona anatuletea mambo yakitoto
 
mwamba huwa tunafanya nae biashara kwa muda mrefu sasa siku jua kama account yake imekuwa hack na matapeli
Msaada upi wakati unadai ni mtu wako wa karibu ,unashindwa hata kujua hao ni wezi wa akaunt za watu
 
Sa mbona una ushamba mob
Hakunaga mjanja mjini hapa kila mtu aliyepo town alishawahi pigwa kwa wakati wake usisahau watu laki nne wanaofika kwenye mikesha ya mwamposa kila mwaka kuuziwa maji na mafuta hakunaga mjanja mjini kila mtu analiwa kwa wakati wake
 
Amethibitisha kupata pesa
Nini tafsiri yako ya neno "kuthibitisha" ?
Umeona bank statement yake ikiwa na transfer kutoka USAID? au kakwambia wamemlipa cash mkononi?
Lakini labda elimu yako ni kiwango gani? Maana USAID ni shirika kubwa la kimataifa shughuli zao zinajulikana na kila mradi wanaofanya unaweza kupata taarafa zake kwenye website yao, kusaidia mtu mmoja mmoja si sehemu ya miradi yao na wala haijawahi kutokea

Au labda wewe pia ni sehemu ya matapeli hao wanasambaza hizo posts na hapa unajifanya kuulizia ukiwa na nia ya kutafutwa na watu wanaotaka nao waunganishwe?
 
Back
Top Bottom