Hapo achana na safari zake za kusafiri na kijiji cha watu nje ya nchi ambazo ni bilions of money hutumika,serikali kutumia tsh bilion 500 kwa mwaka kununua magari ya mafisadi wanajiita viongozi.
Halafu ujakaa sawa unasikia mtu mishipa ya shingo inamtoka kwenye usimba na Yanga.
Tena bila kusahau wao viongozi(kwangu mimi ni matapeli na wahuni) wakiumwa hukimbilia kutibiwa nje ya nchi kwa kodi zetu.Magufuli simkubali ila chuma kilifia mzena nchini TZ akiwa rais wa nchi.
Ikiwa huduma bora za afya ni jukumu la serikali yoyote duniani kwa wananchi wake tena iwe bure au kwa gharama ndogo sana lakini Tanzania serikali inakwepa wajibu wake,Bado unajiuliza kuna jehanamu au unakubaliana na mimi jehanamu ni Tanzania.
Nachelea kusema hii nchi tuliwakabidhi madaraka hakuna mwenye uchungu nayo wote ni wabinafsi hakuna cha TISS wala cha mahakama.
Uzi tayari.