relax bas kamanda,Wanaenda Kigali kufanya Nini? Acheni wivu wa kijinga. Kama mnapambana na waasi pambaneni nao wakiwa Congo. Mnahangaika na Rwanda ya Nini?. Kwenu Kuna shida ya sukari, Deni la nje limeongezeka, umeme shida, bima ya afya hospitali hazijalipwa etc. Ila unahangaika na kuovamia Rwanda ili update Nini?.
Wakati Banyamulenge wanamsaidia kabila miaka ya 1996 mbona hamkulalamika?. Ila Leo ndio mnalalamikia Banyamulenge. Acheni ujinga.
Punguzeni wivu 🐼Na weqe buku 7 kaziniii
Hii ndiyo shida ya kuingia madaraka ya Urais mtu akiwa chini miaka 60.Miongoni mwa wanaotajwa ni Raila na JK. Media za Kenya zinampambanisha Raila na JK ndo nauliza hii ni kweli jamaa anagombea?
Hujui kinachoongelewa..Mauritania president emerges new AU chairman
The Heads of State and Government of the African Union, on Saturday, elected the President of Mauritania, Mohamed Ghazouani, as the new chairman of the union for 2024.punchng.com
Unge google hizo tetesi kufanya ‘fact check’ ungepata jibu hiyo nafasi ishajazwa na raisi wa Mauritania.
KakurupukaHujui kinachoongelewa..
Ndo ubaya wa akili za kutegemea kila kitu u-google!
Kuna tofauti kati ya AU Chairperson na AU Commissioner.
Ebu tueleze hiyo nafasi yako anaeachia ni nani? Na list ya wagombea.Hujui kinachoongelewa..
Ndo ubaya wa akili za kutegemea kila kitu u-google!
Kuna tofauti kati ya AU Chairperson na AU Commissioner.
Kazi kweli kweli mwambie ataje huyo mwenyekiti alietoka au anayotaka kwenye hiyo nafasi.Kakurupuka
Najua Raila Odinga ana gombea huyu wa Msoga ndio breakingNdugu habari za muda huu, naomba kuuliza kwa wadau mbali mbali na hata serikalini kama inawezekana tupewe majibu kabla sijatoa ya moyoni...
Kuna tetesi huko huko duniani nazisikia naomba uthibisho wake maana kuuliza si ujinga.....
Je, Ni kweli mswahili wa msoga aliyepata kuwa Rais wa Tanzania kwa miaka 10, mwenye mtoto Naibu waziri na mke mbunge anagombea uenyekiti wa kamisheni ya umoja wa Afrika?
Nimeuliza kwanza kabla ya kutoa maoni ili tumtendee haki.
Ahsanteni.
Obama aliingia kwenye Urais akiwa na miaka mingapi? Vipi john f Kennedy ,vipi Emmanueli Macron,vipi hayati mwalimu Nyerere mwenyewe,vipi uhuru Kenyatta ,Hii ndiyo shida ya kuingia madaraka ya Urais mtu akiwa chini miaka 60.
Jakaya aliingia madarakani mwaka 2005 akiwa na miaka 55 na akiwa na miaka 65 akamaliza kipindi chake mwaka 2015.
Ndiyo maana bado anawashwa washwa na mambo ya uongozi kwa kuwa bado ana nguvu za kufanya kazi.
Je ingekuwaje kama Nyerere asingemzuia mwaka 1995? Angemaliza uongozi na miaka 55.
Tuwazuie hata hawa akina Mwigulu Nchemba na January ambao yasemekana wanataka kuchukua kijiti baada ya samia
Wewe ndo ungefanya fact check kuliko kudandia treni kwa mbele ukaaibika. Kuna tofauti kati ya mwenyekiti wa AU ambaye automatically ni mkuu wa nchi wanachama na nafasi hsigombewi na Mwenyekiti wa kamisheni ya tume ya AU ambayo ni nafasi ya kugombea.Mauritania president emerges new AU chairman
The Heads of State and Government of the African Union, on Saturday, elected the President of Mauritania, Mohamed Ghazouani, as the new chairman of the union for 2024.punchng.com
Unge google hizo tetesi kufanya ‘fact check’ ungepata jibu hiyo nafasi ishajazwa na raisi wa Mauritania.
Wewe kiazi ficha upumbavu wako basi. Miafrika hasa mitanzania ni kinyaa sana. Jitu halijui linabisha kwa ujasiri kabisa duh!!Ebu tueleze hiyo nafasi yako anaeachia ni nani? Na list ya wagombea.
African Union Commissioner chairman ni moja tu. Na ndio imeenda Mauritania; halafu ili ushike hiyo nafasi lazima uwe sitting president pia wa nchi unayotoka.
Anayemaliza muda wake ni Mousa Faki na wanaogombea nafasi yake miongoni mwao ni Raila Odinga na JK. Jielimishe we kiazi mbatata!!Kazi kweli kweli mwambie ataje huyo mwenyekiti alietoka au anayotaka kwenye hiyo nafasi.
Kama ni kweli namtakia kila laheri.Ndugu habari za muda huu, naomba kuuliza kwa wadau mbali mbali na hata serikalini kama inawezekana tupewe majibu kabla sijatoa ya moyoni...
Kuna tetesi huko huko duniani nazisikia naomba uthibisho wake maana kuuliza si ujinga.....
Je, Ni kweli mswahili wa msoga aliyepata kuwa Rais wa Tanzania kwa miaka 10, mwenye mtoto Naibu waziri na mke mbunge anagombea uenyekiti wa kamisheni ya umoja wa Afrika?
Nimeuliza kwanza kabla ya kutoa maoni ili tumtendee haki.
Ahsanteni.
Kila mtu mwenye vigezo ana haki ya kugombeaAcheni Kumbania Odinga. Hamtosheki?
Chuki hupofusha fikra...Hivi kuna binadamu hawatosgeki ? Ana shida gani ? Kuna shida mahali....maana hata mke hamna kitu kichwani amelazimisha ubunge khsaa mtoto kilaza wa karne....lakini fitna na shirkii
Mwambie Kagame aondoe askari wake Drc, la sivyo SADC na Burundi watalala nae mbele.Wanaenda Kigali kufanya Nini? Acheni wivu wa kijinga. Kama mnapambana na waasi pambaneni nao wakiwa Congo. Mnahangaika na Rwanda ya Nini?. Kwenu Kuna shida ya sukari, Deni la nje limeongezeka, umeme shida, bima ya afya hospitali hazijalipwa etc. Ila unahangaika na kuovamia Rwanda ili update Nini?.
Wakati Banyamulenge wanamsaidia kabila miaka ya 1996 mbona hamkulalamika?. Ila Leo ndio mnalalamikia Banyamulenge. Acheni ujinga.
Wewe ndio umekurupuka. Wanaongelea Chairperson wa AU Commission.Mauritania president emerges new AU chairman
The Heads of State and Government of the African Union, on Saturday, elected the President of Mauritania, Mohamed Ghazouani, as the new chairman of the union for 2024.punchng.com
Unge google hizo tetesi kufanya ‘fact check’ ungepata jibu hiyo nafasi ishajazwa na raisi wa Mauritania.
Fanya utafiti kuhusu AU Commission. Chairperson wa AU Commission ndio mtendaji mkuu wa AUEbu tueleze hiyo nafasi yako anaeachia ni nani? Na list ya wagombea.
African Union Commissioner chairman ni moja tu. Na ndio imeenda Mauritania; halafu ili ushike hiyo nafasi lazima uwe sitting president pia wa nchi unayotoka.