Ni kweli kuna vyakula ambavyo husabisha kifo vikiliwa kwa wakati mmoja?

Ni kweli kuna vyakula ambavyo husabisha kifo vikiliwa kwa wakati mmoja?

nimewah kusikia pia
Tengeneza juice yake upate faida kibao. This mixture soothe, moisturize, nourish the body. Drink it everyday to improve the quality of skin, nails, and hair, and when consumed regularly, the drink can help treat high blood pressure and kidney stones.
 
Katika pitapita zangu nimekutana na hii habari, kuwa kuna vyakula/vinywaji hutakiwi kula kwa wakati mmoja. Yaani "mfano" ule yai wakati huo huo ule ndizi utakufa.

Je ni kweli na kama kweli vipo? Msaada wa kuvitaja
...Mapokeo..!![emoji20]
 
.Ukila Samaki na maziwa mgando kwa wakati mmoja Mara kwa Mara unapata ugonjwa wa MBARANGA (Vitiligo) usipuuze Ni ishu inayotokea baada ya muda mrefu toka utumie
 
Tengeneza juice yake upate faida kibao. This mixture soothe, moisturize, nourish the body. Drink it everyday to improve the quality of skin, nails, and hair, and when consumed regularly, the drink can help treat high blood pressure and kidney stones.
Hiyo lugha si ilipigwa marufuku na magu lakini?
 
QUOTE="Chaliifrancisco, post: 26102122, member: 269427"]
Sio kweli, hizo ni myths tu na stori za abunuasi.
[/QUOTE]
Unasemaje? Kama ni myth jaribu kula asali na limao kwa wakati mmoja,kama tutaendelea kuziona comment zako humu jamvini.
 
Hamna lolote mi kipindi cha corona nimekunywa sana chai yenye asali, ndimu, tangawizi na mdalasini mbona nipo hapa JF mda huu..?
Kesho asubuhi kula ndimu halafu lamba asali
 
Back
Top Bottom