Masangutu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 751
- 559
Nimeshachanganya Sana,asali+limao=dawa ya kifua,ukitaka kuivisha kifua(kubanja)asal peke yake sio sumu ila jaribu kuchanganya na limao af uone
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeshachanganya Sana,asali+limao=dawa ya kifua,ukitaka kuivisha kifua(kubanja)asal peke yake sio sumu ila jaribu kuchanganya na limao af uone
kuna jamaa aliwahi nikuta tango nachmvya ktk asali nakula, akakaa pembeni anasubiri nianze kuvuta, alipoona kimya ndo akaniambia, hakuna mambo kama hayoUkijibiwa niite mkuu.
Na ni dawa ya kikohozi piaUongo....asali limau ni dawa ya mshedede wima masaa 3
Tengeneza juice yake upate faida kibao. This mixture soothe, moisturize, nourish the body. Drink it everyday to improve the quality of skin, nails, and hair, and when consumed regularly, the drink can help treat high blood pressure and kidney stones.nimewah kusikia pia
[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Inawezekana ukawa umeshakufa ila hujajua tu
...Mapokeo..!![emoji20]Katika pitapita zangu nimekutana na hii habari, kuwa kuna vyakula/vinywaji hutakiwi kula kwa wakati mmoja. Yaani "mfano" ule yai wakati huo huo ule ndizi utakufa.
Je ni kweli na kama kweli vipo? Msaada wa kuvitaja
Mi niliambiwa ndimu na asali sumu tangu nipo mdogo ila miaka mingi nimedumu kwenye kinyawaji cha tangawizi na asali then nakamulia ndimu au limao but sijayaona madhara wasemayoKuna nyingine niliambiwa eti, eti, Tango na Asali unavuta, sasa sijui kuna ukweli hapo?
Na bado ndimu na Asali tunamix na tunadunda fresh....hakuna kitu kama hicho mie siku zote natengeneza juice ya tango siweki sukari naweka asali na nadunda mpaka leo
Mbona watoto tunawasagia miaka kwa miaka?Naskia ukichanganya panado na maji huchukui round, wakuu vipi hii?
Hapo sasa!!!Ukiongeza na tangawiz ni tiba nzur sana ya kikohozi sugu
Hiyo lugha si ilipigwa marufuku na magu lakini?Tengeneza juice yake upate faida kibao. This mixture soothe, moisturize, nourish the body. Drink it everyday to improve the quality of skin, nails, and hair, and when consumed regularly, the drink can help treat high blood pressure and kidney stones.
Sema kwel mkuuKuna uwezekano huo... mfano tikiti maji na pepsi ni kilevi kimoja murua sana.
Ila haukufi?.Ukila Samaki na maziwa mgando kwa wakati mmoja Mara kwa Mara unapata ugonjwa wa MBARANGA (Vitiligo) usipuuze Ni ishu inayotokea baada ya muda mrefu toka utumie
Asali na ndimu ndo nomaAsali + Limao = Kifo
Sijui kama ni kweli au vipi ila nimewahi kusikia.
Hamna lolote mi kipindi cha corona nimekunywa sana chai yenye asali, ndimu, tangawizi na mdalasini mbona nipo hapa JF mda huu..?Asali na ndimu ndo noma
Kesho asubuhi kula ndimu halafu lamba asaliHamna lolote mi kipindi cha corona nimekunywa sana chai yenye asali, ndimu, tangawizi na mdalasini mbona nipo hapa JF mda huu..?
Usiweke chai,kula ndimu yenyewe na asaliHamna lolote mi kipindi cha corona nimekunywa sana chai yenye asali, ndimu, tangawizi na mdalasini mbona nipo hapa JF mda huu..?