Tetesi: Ni kweli kwamba Mkurugenzi aliyehusika katika tukio la mauaji Itigi ni mtoto wa dada yake Rais Magufuli?

Tetesi: Ni kweli kwamba Mkurugenzi aliyehusika katika tukio la mauaji Itigi ni mtoto wa dada yake Rais Magufuli?

Maswali 10

1. Mkurugenzi wa Halmashauri ya Itigi alifuata nini kanisani?

2. Je, ni kweli mkurugenzi huyo ana ugomvi na baba wa marehemu?

3. Je, mkurugenzi ndiye aliyetoa bunduki na kumfyatulia Isaka Isaka na kumuua?

4. Polisi wanasema tukio la mauaji lilitokea wakati mkurugenzi akiwa amekimbia je, ni nani aliyefanya mauaji hayo?

4. Polisi wanasema mkurugenzi huyo alikimbia na kufunga mlango, kwa nini alifunga mlango wa kanisa?

5. Baba wa marehemu anasema alishuhudia mkurugenzi akifyatua risasi, nani anazungumza ukweli, baba au polisi?

6. Je, ni kweli kuna kesi mbili mahakamani kati ya mkurugenzi na baba wa marehemu?

7. Kulikuwa na ulazima wowote wa mkurugenzi na msafara wake kwenda kudai ushuru wa mashamba kanisani?

8. Je, ni kawaida kwa mkurugenzi kupita mtaani kudai ushuru kwa wananchi?

9. Ni kwa nini Waziri wa Tamisemi, Selemani Jafo ameshiriki mazishi ya Isaka Isaka na kutoa ubani wa Sh1 milioni?

10. Je, ni kwa nini polisi, uongozi wa Singida haukutoa ushirikiano kwa waandishi wa habari kuzungumzia sakata hilo lilipotokea siku hiyo?

Jr[emoji769]
Umeona movie inavyoenda? Sasa polisi wanasema wakati huyu kijana anauwawa Mkurugenzi alikuwa nje!

Niliwambia, polisi watakuwa wanamchomoa hatua kwa hatua. Mwishowe watasema hakuwapo kwenye tukio!
 
Kwa hiyo unadhani mahakama itatoa hukumu kwa kuwasikiliza RPC na wasaidizi pekee? Kuna upande wa mashahidi mahakamani. Hakuna siri mahakamani kila kitu kitakuwa wazi.
Mkuu, kinacho nishangaza katika hizi jitihada za kumchomoa Mkurugenzi, ni chanzo cha habari za polisi ni nani? Wakati wamini na baba yake wanasema walimshuhudia akimpiga risasi, Polisi sasa wameenda mbali na kusema eti Mkurugenzi alikuwa nje wakati huyu kijana anapigwa risasi. Kwa hiyo usishangae kwamba atakutwa hana hatia. Anaweza hata akaja na uthibitisho kwamba wakati hili tukio linaendelea alikuwa ofisini na mashahidi wapo!
 
Umeona movie inavyoenda? Sasa polisi wanasema wakati huyu kijana anauwawa Mkurugenzi alikuwa nje!

Niliwambia, polisi watakuwa wanamchomoa hatua kwa hatua. Mwishowe watasema hakuwapo kwenye tukio!
Pamoja na kwamba marehemu hana haki lakini damu ya mtu haiendi bure

Jr[emoji769]
 
Ipo siku ukweli utajulikana hadharani,sasahivi ukweli unajulikana kwa watu wachache sana.
Pia kwa dunia ya leo,kwa jinsi tukio lilivyotokea,ni ngumu sana kuudanganya umma,dunia imefika mbali sana,unaweza ukadanganya pale endapo tukio ulilishuhudia peke yako tu,ila kama wapo wengi walioshuhudia ni ngumu kudanganya.
Kama ni yeye au sio yeye majibu ukiyafuata mtaani unayapata,majibu sahihi hayafuatwi ofisini,sio kwa rpc,ocd,msemaji au mtu mwingine yoyote ambaye hakuwepo eneo la tukio,mtaani kuna ukweli wote,iundwe tume huru tu iingie mtaani,hoji watu mia,majibu utayapata tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unasema zengwe!? Haya hebu tuambie ni silaha gani ilitumika kwenye hayo mauaji. Ma DED siku hizi wanatembea na silaha viunoni!!??? Aliyepiga risasi ni askari wanyamapori kwa amri ya DED. Thats it

Sent using Jamii Forums mobile app
Waliokuwepo wameeleza wazi kuwa aliingia, halafu alitoka akaenda kuchukua bunduki kwenye gari lake. Aliporudi alikuja akiwa na bunduki mkononi.

Si jambo la ajabu DED kuwa na bunduki kwa awamu hii maana wateule wake wengi ni wale waliokuwa huko TS.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kama sheria ni msumeno basi hapa Tanzania kuna watu hauwakati, nimeona vigogo wengi sana ukwapitia mbali japo makosa yanakuwa wazi. Kwa mfano, yule jamaa wa CCM alipomrabua mwenzake fimbo ya kichwa wakati wa kampeni msumeno gani ulimpuitia? Sasa sana alipewa ulaji zaidi muda mfupi baadaye. Na pia, katiba yetu inasema wazi huo msumeno hautamkata raisi. Na labda pia ndugu zake kama watoto wa dada!
jamaa alipewa ulaji gani mkuu
 
Mkuu, kinacho nishangaza katika hizi jitihada za kumchomoa Mkurugenzi, ni chanzo cha habari za polisi ni nani? Wakati wamini na baba yake wanasema walimshuhudia akimpiga risasi, Polisi sasa wameenda mbali na kusema eti Mkurugenzi alikuwa nje wakati huyu kijana anapigwa risasi. Kwa hiyo usishangae kwamba atakutwa hana hatia. Anaweza hata akaja na uthibitisho kwamba wakati hili tukio linaendelea alikuwa ofisini na mashahidi wapo!
Yaan mm pia najiulza hii kazi ya kudhibitisha alikua eneo La tukio au hakuwepo,au alishiriki na yy au ni polis,mashaid ambao ni waumin wamesema walimshuhudia "mteule" akiua kwa risas then tunaambiwa na polisi sio yy Yaan hii ni aibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unasema zengwe!? Haya hebu tuambie ni silaha gani ilitumika kwenye hayo mauaji. Ma DED siku hizi wanatembea na silaha viunoni!!??? Aliyepiga risasi ni askari wanyamapori kwa amri ya DED. Thats it

Sent using Jamii Forums mobile app

DED anahusika katika kesi kwa vile alitoa amri ya kumpiga risasi marehemu. Ni mtuhumiwa mpaka hapo itakapoonekana katika ushahidi hakuhusika.
 
Back
Top Bottom