Ni kweli kwamba Profesa Janabi hajawahi kusomea wala kuwa Daktari Bingwa wa Moyo?

Nimekuelewa Lakini Kwa Bahati Nzuri Janabi alimaliza MD mwaka 1989 na akafanya Internship.Hapa Muhimbili Medical Centre..

Na Baadae Alisoma MMED University of Queensland in Australia (MMED in Internal medicine ) Mwaka 1995 na 96 hivi..

Ndo akaenda Fellowship ya Cardiology
 
Kwa hiyo ni specialist wa nini?
Zile clinic za Moyo ambazo anaatend wagonjwa in person ni za nini!
Sometimes inawezekana Taarifa hazijawa updated
 
Tanzania Tuna Cardiologist Yaani wabobezi nahisi wenye fellowship 11 Kama sijakosea Zaidi ukiacha Wale wenye bachelor za Cardio
Yes mueleze kuwa Janabi amekuwq recognized kwenye eneo la cardias through professionnel certificates. Ila post graduate yake haikuwa huko nadhqn ndio alivokusudia mtoa mada

Wengi wanawasiwasi na elimu ya Janabi.

Miaka ile watu waliosoma Urusi, Poland, Algeria, Cuba…. Kabla ya TCU ….. verification ya degree zao zilikuwa ni issue hivyo kulikuwa kuna shida eneo hilo hasa kwenye authenticity ya elimu yao kulikuwa na fake degree zilizopewq kibali na wizara
Alipokuja JPM , hyeti vingi fake mahospitalini na utumishi vilitoka Urusi, Cuba, Poland …… post nyingine ilibidi Ngosha aambiwe hawa wana experience sana ni bora kuwaacha

But daktari mzuri ni yule mwenye experience , Janabi has earned kwenye eneo la cardiac but hé is not cardiologist academically….. only by fellowship and professional registration

kwa sasa ni wakati ma cardiologist academically by post graduate ndio wakae mbele

Proffesional certificates walizosomea kina janabi zinalenga zaidi walio kazini with more experience . Kuna vitu vingi hawasomi as compared na wabobezi waliokaa class na kuipiga Cardiology as specilization
 
Sheikh wangu watu kama nyie ndo huwa tunawataka JF. Unatoa hoja na Ilimu mujarab. Mashallah nimefurahishwa sana na uwasilishaji wako wa mada. Nami nakaa kitako hapa kuendelea kupata darsa na ilimu hii mujarab.
 
Ndugu yangu acha ubishi, PhD ni kitu kingine kabisa haina uhusiano wowote na hizo Mmed, Fellowship. PhD ni high academic degree, ni degree ya kifalsafa, ndio maana PhD hazifanani, kila mtu mwenye PhD maana yake ana degree ya kipekee yake, inabeba jina la kile alichokitengeneza kitaaluma yeye mwenyewe. Unasomea ili kutengeneza falsafa ya kuwezesha watu wengine kuja kusoma hicho kitu.

Hiyo ni tofauti kabisa na degree zingine za kitaalamu (Professional degree) kama Md au Mmed, ambapo unasoma ili kuwa mtaalamu wa kwenda kufanya majukumu fulani mahususi. Professional degree zinafanana, mnaweza kuwa watu 10000, wote mmesomea kitu hicho hicho, kuhitimu na kuwa na degree hiyo hiyo, mnafanana.

Huwezi ku equivalent degree ya tatu ya kawaida (professional) na Degree ya juu kabisa (Philosophy) yaani PhD.
 
Kuna mtu kasema alikuwa discontinued kipindi hicho inaitwa Muchs under academic grounds ni kweli?
 
Sawa mkuu kwahiyo unamaanisha kwa vigezo vya uko Marekani Prof. Janabi ni cardiologist. Je ndugu Zanzibar-ASP unakubali kuelewa hili?

Na vipi ndugu Matrix19 huyu Janabi hapa Tanzania anatambulika kama cardiologist kwa vigezo hivyo vya Marekani?
 
Acha uongo. Kwa mebeberu wapi ambapo mtu hajasomea field ya udaktari aitwa dr?sheikh wangu mbona wataka kutudanganya siye kama watoto? Laaaah....usifanye hivyo tuheshimu hata kidogo.
 
Asante mkuu.

Je ndugu Zanzibar-ASP unaikataa hii Mmed Specified in Tropical Medicine ya Prof. Janabi? Ni batiri?

Au unamaanisha Mmed ya Tropical Medicine haifai kuwa ngazi ya Cardiology?
 
Ninakuelewa But usisahau Fellowship ya Cardiology ni 3 -7 years na MMED ya Internal medicine specified in Tropical Medicine ilimpa Yeye Uwezo wa Kusoma fellowship..

Ila Kwa sasa anayezuia Tusiwe na Cardiologist wengi Ni MCT kwa sababu hawazitambui Degree nyingi za Cardiology mpaka Degree ya Tatu au Fellowship kuna vijana wengi tu wana Degree ya Pili ya Cardio..

Na Kuhusu Full Cardiologist Nakubaliana na weww Kw saaa Tunao wachache sana saaana kwa sababu sio Kozi ya Kitoto
 
Narudia kuandika hapa mtu kufanya cardiology fellowship USA hakukufanyi kuwa Cardiac superspecialist popote pale duniani.
Kwa Tanzania utaratibu wa MCT uko wazi, ni lazima kwanza uwe na Mmed ya internal medicine (au Paediatric ikiwa utahusika na watoto) kabla ya kutaka kusomea ubobezi wa moyo. No shortcut.
 
Mkuu, asante sana kwa ufafanuzi wako. Pamoja na ufafanuzi mzuri, naomba kuuliza maswali machache ya nyongeza kama ifuatabyo:-

1. Tanzania, kupitia MCT, tunafuata vigezo (standards) za Taifa gani?

2. Kufanya Fellowship ya Moyo kwenye Taasisi kubwa za Cardiology za US peke yake, kuna tosha kumfanya Prof kuwa Daktari Mbobezi wa Magonjwa ya Moyo?

3. Na kama Prof hajatambulika na MCT kama Daktari Mbobezi wa Magonjwa ya Moyo, kwa nini?
 
Nimekuelewa Mkuu
 
Hizi taarifa amekupa Dr. Kisenge wa hapo JKCI kwa sababu ya tamaa zake.. ili uje umchafue janabi Jamiiforum kwa sababu hajapendekezwa yeye
 
Proffesional certificates walizosomea kina janabi zinalenga zaidi walio kazini with more experience . Kuna vitu vingi hawasomi as compared na wabobezi waliokaa class na kuipiga Cardiology as specilization
Mtu anaye maliza MD anapata basic knowledge ya kila eneo. MMED, ana 'focus' kwenye eneo maalum; kama hiyo cardiology; huyu pia ili kutambuliwa hivyo inabidi awe 'certified' mara kwa mara kwa kufanya mitihani na taratibu za eneo hilo ili aendelee kuwa upto date na yanayo endelea huko
 
Asante mkuu.

Je ndugu Zanzibar-ASP unaikataa hii Mmed Specified in Tropical Medicine ya Prof. Janabi? Ni batiri?

Au unamaanisha Mmed ya Tropical Medicine haifai kuwa ngazi ya Cardiology?
Nakusahihisha.
Professor Janabi alifanya Msc in Tropical health (ambayo mhitimu yoyote wa kada ya afya anaweza kufanya, sio lazima awe Md) na hakufanya Mmed of Tropical medicine.
Msc of tropical health sio sawa na Mmed.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…