The mission 2017
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 1,748
- 3,229
Ukiipitia hyo CV yake inatosha kabisa mwenda kugombea huko, japo kushinda itategemea na ambao atashindana nao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu samahani, naomba kuuliza.Mkuu, kwa kuwa unajitambulisha kwa Jina la Dr Mambo Jambo, naomba kuuliza swali kutokana na ulichoandika. Je, Fellowship ya Moyo peke yake, inatosha kumfanya Daktari yoyote kuwa DaktrBingwa wa Magonjwa ya Moyo?
Zaidi, unaweza kutueleza sifa za Kitaaluma za Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo?
Itapendeza kunipatia majibu ya maswali haya na kufanya huu mjadala kuwa na tija zaidi.
Watu wanabisha ila Hata Fellowship hawajui maana Yake...Kuna mtu hapo nimemuuliza swali jepesi anajua fellowship ya cardiology inachukua miaka mingapi na inahusu nini hajajibu .
Hapo ndio nilipocheka na kufunga mjadala maana naona nitajadiliana na mtu ambaye mada imemzidi kimo.
Hapana.🤣🤣 ndo maana Nimekuuliza Unajua Ulichokuwa unakisema..
FEllowship zinaanzia Miaka 2 Mpaka 10 inategemea Na Aina Ya Fellowship..
Sasa hayo mafunzo maalumu yenye Miaka mimgi ndo tunaita Fellowship..🤣🤣🤣
Hayo mavyeo sijui wanayapataga wapiProfessor Janabi hana qualification yoyote ya kutibu moyo kibingwa, hana. Hakusomea popote na hakuwahi kutambuliwa na baraza la madaktari hapa Tanzania kama Daktari bingwa wa moyo. Na hata pale Muhimbili hajawahi kutibu moyo mtu kibingwa tangu awepo. Hana huo uwezo.
Ngoja sasa nikusaidie jibu ni jepesi.Sijui chochote kuhusu NAPLEX wala miaka ya kusomea Doctor of Pharmacy huko USA.
Ninachokifahamu ni kuhusu sifa za mtu kuwa mfamasia hapa Tanzania. Na ziko mbili tu.
1. Kuwa na degree ya Pharmacy inayotambulika na TCU.
2. Kusajiriwa katika bodi ya famasi ya (katika hali ya kawaida mhusika anfanya na kufaulu mtihani wa bodi)
Hii nakubaliana na wewe,mfano Dokta Kamugisha utamkuta hospitali zote hizoUnazungumzia habari za kina Dr. Sarungi ambao zama hizo walikuwa ni wao pekee kwa uchache walikuwa wamesomea ubingwa, tena nje kwa kuwa Tanzania hakukuwa na vyuo vya kufundisha mabingwa wa kutosha wa fani kama mifupa. Kwa sasa mambo yamebadilika mnoo.
Nenda sasa pale Muhimbili (MOI) ukakutane na vijana wadogo na wamoto sana wakijifunza vilivyo kuchoronga na kurekebisha mfupa kisasa kabisa.
Mwisho labda nikuambie ukweli, karibu madaktari bingwa wote wazuri wa pale Muhimbili ukija Aga Khan, Regency, Selfee, Hindu Mandal utakutana nao tena. Ni madaktari wale wale.
Ndugu yangu achana na conclusion za namna hiyo, hizo ni conclusion za kilayman sana. Wagonjwa wangapi wako wametibiwa na dr wa urusi na wangapi wametibiwa dr wa muhumbiri then ukaja na hitiimisho kwamba dr wa urusi ni mbovu kuliko dr wa tanzania!Mimi sibishani, nakuambia ukweli wa kiujumla jumla, sio uwezo binafsi wa mtu mmoja mmoja baada ya kuhitimu. Ikiwa kiujumla jumla utalinganisha (kwenye kutibu wagonjwa) wahitimu wa udaktari waliosoma Tz dhidi ya wahitimu wa udaktari waliosoma USSR, wote wakiwa fresh from university, utagundua tofauti kupitiliza, watanzania wametangulia mbali mnoo. Na siri ni ile ile, wahitimu wa taaluma ya udaktari kutoka Tanzania wana clinical practice exposure kubwa, nzuri na kutoshea mnoo.
Kama uamini hilo, nenda hata sasa huko mahospitalini utakuja kuniambia hapa hapa. Mimi nilikuwa mbishi kama wewe, baada ya kuchunguza mwenyewe nilibadili mtazamo kabisa. Nilikuwa siwakubali wala kuwaelewa wahitimu wa udaktari kutoka Tz, baada ya kuuguza mara kwa mara na kwenda hospitali mara kwa mara niligundua kitu cha tofauti kabisa.
Nahisi unasumbuliwa na wivu tuSyo daktari bingwa ubingwa wake tuambie alisoma wapi.
Alisomea nini.
Ni ajabu sana anayehoji ubora wa elimu ya U.S ndio mtu ambayo nchi kuna kozi ilianzisha inaitwa ADDO kama sikosei nilishangaa eti mtu anasoma mwezi mmoja na anaruhusiwa kufanya dispensing ya dawa like serious??Watu wanabisha ila Hata Fellowship hawajui maana Yake...
Wanahisi Fellowship Ni Course ya miezi sita..
Ile Ni kwenda Kula Mashule Wangapi hawafiki Huko?
Hilo nimeshaeleza zaidi ya Mara 100 fuatilia Post zangu kuanzia mwanzoni nimeeleza Mpaka Miaka aliosoma Na mpaka Fellow aliyofanya ya cardiology alifanya LiniSyo daktari bingwa ubingwa wake tuambie alisoma wapi.
Alisomea nini.
Sijui kama Ulichokiandika Umekisoma vizuri 🤣🤣🤣
Tuchukulie Mfano..
Mfano Mimi Ni Neonatologists
Nilifanya Neonatal fellowship Kwa Miaka Mitatu..
Baada ya Kupata MMED(Paed) degree ya Pili Au master Ya Miaka 3..
Kwahyo Fellow Huku Medicine tunairegard kama Degree ya tatu SO its equivalent na Phd Kama utakuwa Kwenye Track ya Proffesional ila Ulitoka kwenye proffesional Ndo unaweza ouchukua Degree ya Utawala ila ukibaki huku ndo unakuwa Super so Ma Super wote ni.Phd Holder..
Au Wanaitwa Wabobezi...
Hapana Mkuu!Nimesoma mpaka mwisho bado sijaelewa mimi kilaza wa mambo ya afya.
Hoja ya mleta mada ingejibiwa kama mgemuhakikishia kuwa kuna uwezekano wa mtu kuwa daktari bingwa mbobezi wa moyo bila kuwa na hiyo Mmed anayolalamikia mleta mada kwamba Prof. Janabi hana.
Anadai kwamba kuna hatua ya MD, kisha hatua ya Mmed kisha ubingwa na ubobezi unafuatia. Je kuna njia ya kuruka Mmed ila ukawa cardiologist?
Kama inawezekana kule Marekani, Japan au hapa nchini mumsaidie mleta mada. Mmojawapo kagusia fellowship, je hii inaweza simama kama mbadala wa Mmed?
cc DR Mambo Jambo
Fellowship Ya Moyo Ikiambatana na MMED ya Internal medicine..Mkuu, kwa kuwa unajitambulisha kwa Jina la Dr Mambo Jambo, naomba kuuliza swali kutokana na ulichoandika. Je, Fellowship ya Moyo peke yake, inatosha kumfanya Daktari yoyote kuwa DaktrBingwa wa Magonjwa ya Moyo?
Zaidi, unaweza kutueleza sifa za Kitaaluma za Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo?
Itapendeza kunipatia majibu ya maswali haya na kufanya huu mjadala kuwa na tija zaidi.
Mlikuwa wapi siku zote hizo anatibu watu mkijua kabisa siyo dkt wa moyo mbwa nyie?mkiambiwa hamna akili mnakataa!!Professor Janabi hana qualification yoyote ya kutibu moyo kibingwa, hana. Hakusomea popote na hakuwahi kutambuliwa na baraza la madaktari hapa Tanzania kama Daktari bingwa wa moyo. Na hata pale Muhimbili hajawahi kutibu moyo mtu kibingwa tangu awepo. Hana huo uwezo.
Nitajie Fellowship Moja tu ambazo Inatolewa kwa Miezi au Mwaka mmoja..Hapana.
Kuna fellowship nyingi sana za miezi mpaka mwaka mmoja tu. Hutegemea professional, taasisi, na malengo. Hazina muda mahususi wa kufanana. Urefu wa muda wa mafunzo hauamui mafunzo kuitwa fellowship. Hakuna uhusiano wowote kati ya muda wa mafunzo na hayo mafunzo kuitwa fellowship.
Ndo huwa anajinasibu hivyoKwani kuna siku yeye alisema anatibu watu moyo?
Elimu Ya USA ni elimu Ambayo Iko Very practical Kuliko Yetu Nimekaa Kule..Ni ajabu sana anayehoji ubora wa elimu ya U.S ndio mtu ambayo nchi kuna kozi ilianzisha inaitwa ADDO kama sikosei nilishangaa eti mtu anasoma mwezi mmoja na anaruhusiwa kufanya dispensing ya dawa like serious??
Mimi siwezi kutetea upumbavu; lakini kwanza hebu twende taratibu?Mwisho kabisa, MCT wanatakiwa kutoa maelezo kwa umma, kwa hicho ulichowahi kusomea Professor Jababi (Masters of tropical health) ambacho hakina sifa yoyote ya udaktari bingwa wa moyo (maana mhitimu yoyote wa fani ya afya anaweza kusomea), kinampaje sifa mhusika kuwa daktari bingwa wa moyo?