Ni kweli kwamba Profesa Janabi hajawahi kusomea wala kuwa Daktari Bingwa wa Moyo?


Mkuu, naomba kuuliza.

Kwenye CV ya Prof, kuna MSc ya Tropical Health. Wewe unasema MMED ya Internal Medicine Specified in Tropical Medicine.

Je, hizi ni Course moja au tofauti?
 
Haijarishi una leseni gani au umesomea nini, ni lazima vyeti vyako vithibitishwe na TCU na uombe usajiri kwenye baraza la wafamasia, vigezo na masharti kuzingatiwa.
 
Mkuu, asante sana kwa ufafanuzi wako. Pamoja na ufafanuzi mzuri, naomba kuuliza maswali machache ya nyongeza kama ifuatabyo:-

1. Tanzania, kupitia MCT, tunafuata vigezo (standards) za Taifa gani?
Hili ni swali ambalo nimemuuliza mleta mada katika mizania ya taaluma ya ufamasia ngazi ya shahada ya kwanza.
2. Kufanya Fellowship ya Moyo kwenye Taasisi kubwa za Cardiology za US peke yake, kuna tosha kumfanya Prof kuwa Daktari Mbobezi wa Magonjwa ya Moyo?
Jibu ni ndio standard za U.S ni kubwa kuliko Tanzania.
3. Na kama Prof hajatambulika na MCT kama Daktari Mbobezi wa Magonjwa ya Moyo, kwa nini?
Hiyo sasa ni issue ya wao MCT na yeye..

Huyo anatambulika U.S wao wanashindwaje kumtambua?
 
Mkuu, naomba kuuliza.

Kwenye CV ya Prof, kuna MSc ya Tropical Health. Wewe unasema MMED ya Internal Medicine Specified in Tropical Medicine.

Je, hizi ni Course moja au tofauti?
Msc na MMED sio Course sawa hata Kidogo..
Ili kusoma MMED lazima Uwe Daktari MD/MBBS..
Ila kusoma MSc sio lazima Uwe daktari anasoma yoyote aliye kwenhe afya au Science
 
Kaileta nje ya context hasa bila kujua kwa kina exposure ni muhimu.

Nitamkosoa Janabi kwa vitu vingine sio elimu yake..


Hii unaongelea miaka mingapi nyuma ?

Yeye mwenyeww kaleta mada asiyoelewa ndio maana unaona anaruka viunzi.
Hakuna mahali anaruka viunzi. Hoja hujibiwa kwa Hoja, na siyo vinginevyo. Kwenye hili, Mleta mada Hoja zake zinaeleweka kwa nini anasema Prof siyo Daktari Mbobezi wa Magonjwa ya Moyo. Shida, wewe na wengine, tumehamaki na kumshambulia Mleta Uzi badala ya kujibu Hoja zake kwa Hoja.
 
Haijarishi una leseni gani au umesomea nini, ni lazima vyeti vyako vithibitishwe na TCU na uombe usajiri kwenye baraza la wafamasia, vigezo na masharti kuzingatiwa.
Umeelewa tofauti hizo mbili?

Mmoja atapply leseni tu.

Wa pili atafanya training , atafanya mtihani akifaulu ndio ataruhusiwa kupractice na training yenyewe sio ya miezi.
 
Dr Tale Tale ile PhD ni degree ya ngapi?
 
Kuna kipindi alikua anafanyia Kazi U.S ila walimbembeleza aje Bongo kwa kumhaidi atapewa maslahi makubwa na kuonesha uzalendo.
 
Kama Janabi sio mbobezi wa hayo masuala mleta mada atueleze Janabi ni mbobezi kwenye nini.
 
Yes mueleze kuwa Janabi amekuwq recognized kwenye eneo la cardias through professionnel certificates. Ila post graduate yake haikuwa huko nadhqn ndio alivokusudia mtoa mada
Hii ni sentensi yenye utata mkubwa sana hii.
"Amekuwa "recognized" na nani? "Professional certificates" conferred by which authority; cardiologists (wa wapi)?
 
Nitajie Fellowship Moja tu ambazo Inatolewa kwa Miezi au Mwaka mmoja..
Niko tayari Kujifunza..
Karibu
Zipo nying sana. Mfano rahisi ni hizi
-Fellowship Council Clinical Fellowship (mwaka mmoja tu)
-ASHA Clinical fellowship (hii ni miezi 9 tu)
-Canon Foundation Research Fellowship (miezi 3 tu)

Narudia tena kuandika, Fellowship haina uhusiano wowote na muda ili kufaa kuitwa fellowship.
 
Marekani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Wambura pale Agakhan Ali..

Lakini basi 🐼
 
Zipo nying sana. Mfano rahisi ni hizi
-Fellowship Council Clinical Fellowship (mwaka mmoja tu)
Unaelewa hata Ulichokiandika 😁🀣🀣🀣
-ASHA Clinical fellowship (hii ni miezi 9 tu)
-Canon Foundation Research Fellowship (miezi 3 tu)
MKUU hivi Ulivoviandika Unavielewa maana Yake🀣🀣🀣🀣
Narudia tena kuandika, Fellowship haina uhusiano wowote na muda ili kufaa kuitwa fellowship.

Dah Kweli mi naomba Nikuache 🀣🀣🀣
Matrix19 hebu Njoo nisaidie Kunielewesha Hizi ni Nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…