Ni kweli kwamba Profesa Janabi hajawahi kusomea wala kuwa Daktari Bingwa wa Moyo?

Mueleze vema. Alichosema ni sahihi hajasomea hilo eneo kwenye post graduate… kilichomfanya kuwa hapo ni hizo unazoziita fellowship au kwa jina lingîne ni professional certificates

Tunao cardiologist pure…. Janabi is not bali ana professional certificates
 
Mimi sibishani, nakuambia ukweli wa kiujumla jumla, sio uwezo binafsi wa mtu mmoja mmoja baada ya kuhitimu. Ikiwa kiujumla jumla utalinganisha (kwenye kutibu wagonjwa) wahitimu wa udaktari waliosoma Tz dhidi ya wahitimu wa udaktari waliosoma USSR, wote wakiwa fresh from university, utagundua tofauti kupitiliza, watanzania wametangulia mbali mnoo. Na siri ni ile ile, wahitimu wa taaluma ya udaktari kutoka Tanzania wana clinical practice exposure kubwa, nzuri na kutoshea mnoo.

Kama uamini hilo, nenda hata sasa huko mahospitalini utakuja kuniambia hapa hapa. Mimi nilikuwa mbishi kama wewe, baada ya kuchunguza mwenyewe nilibadili mtazamo kabisa. Nilikuwa siwakubali wala kuwaelewa wahitimu wa udaktari kutoka Tz, baada ya kuuguza mara kwa mara na kwenda hospitali mara kwa mara niligundua kitu cha tofauti kabisa.
 
Specialist in what as per his registration as a medic practitioner? Huu usanii
 
Kuna baadhi ya nchi wanatoa hii hata kwa neurosurgery ipo bila kwenda general surgery
 
Hehehehe, Vetting imeleta shida Tena😂😂😂😂😂
 

Mohamed Y. Janabi MD​


View: https://m.youtube.com/watch?v=gMrjqC5SvBMCardiology
Dar es Salaam, Dar es Salaam, Tanzania


Mohamed Janabi has received his medical training from premier institutes in Europe, Australia, Japan, and USA. MD from Kharkiv Medical Institute, Ukraine, Residence (master’s degree) under the supervision of Prof Ian Riley at the University of Queensland Herston Medical School campus Brisbane, Australia.

Received his PhD (cardiology) and post-doctorate (recipient of Japan Society for Promotion of Science) from Graduate School Osaka University Hospital, Department of Internal Medicine and Molecular Science, under supervision of Prof Yuji Matsuzawa (co-founder of Syndrome X).

In addition to clinical cardiology training in these institutions, Dr. Janabi has been attached as a senior clinician at Fazarkeley Hospital Liverpool (under Prof Nicholas Beeching), Bergen University Norway (under Jan Erik), and medical University of South Carolina USA (Prof Eric Powers and Peter Zwerner) when he still retains his faculty position at the department of cardiology MUSC.

Furthermore, has a keen interest in academics (Honorary Lecturer with Muhimbili University of Health Allied Sciences-MUHAS) and research. He has a number of publications in various national and international journals.


He has been a mentor for students undergoing training in Cardiology (MSc) and residents of Internal Medicine at Jakaya Kikwete Cardiac Institute and MUHAS. Has been invited as faculty in various national and international meetings.

Dr. Janabi is the Executive Director of the Jakaya Kikwete Cardiac Institute (JKCI), Dar es Salaam Head, and Physician to former President of the United Republic of Tanzania.

Dr. Janabi has a rich training history of truly global proportions. Dr. Janabi is a graduate of the Kharkiv Medical Institute (Russia), Liverpool School of Tropical Medicine (England), University of Queensland Medical School (Australia), Graduate School of Medicine Osaka University Hospital (Japan), and Bergen University (Norway).

Dr. Janabi is involved in several research projects and is the principal investigator on the Atrial Fibrillation study RELY (Multinational), and the Principal Investigator TB/HIV study (multinational). Dr. Janabi is also the in-country director for Madaktari Africa. Dr. Janabi is also the host of the East African Cardiology Conference and lead on starting the first ACC chapter in Africa
 
Wahitimu wa vyuo gani bongo na miaka ipi ni prime kwa sifa hizo?
 
Kwahiyo huko WHO atatakiwa kwenda kufanya operation au?
 
Certificate ya USSR miaka ya 80 ni sawa na PHD 10 za jalalani kwenu, Dogo heshimu hustle za watu 🤣🤣
Wasomi wa kibongo huwa wanachekesha sana,eti wanadhani kuwa na makaratasi mengi ya UDSM au MZUMBE ndio kuwa na competence.
Wewe unataka kushindana na mtu aliyehitimu degree 3 za Ulaya kwa elimu yetu ya kukariri vitu kwenye makaratasi bila kuviona physically.
 
Umechunguza wapi? Watu kibao wanakimbia Hospital za Serikali ambazo hao uliowasifia wamejaa, na Wana kwenda Hospitali za Private kwenye Madaktari bingwa, Nenda Hospitali kubwa kubwa nchi hii uone walivyojaa hao unaosema hawajui na nenda Amana, Muhimbili, temeke na Mwananyamala niambie wamejaa wapi kama sio Hao unaowasifia halafu linganisha Quality ya Huduma.
 
Sasa kipenyo taarifa zake uzikute MCT

Pia ni kawaida madaktari tukimaliza sio wote masters tunaenda kubobea ubingwa wa magonjwa
. Wengine huenda

Parasitology
Microbiology
Mph
Na course zingine nyingi

Huyo ni afisa wa serikali

Wala hawezi kuwa mkurugenzi WHO nafasi tushaporwa
 
Achana nao MCT hua haionyeshi qualifications zote kwanza
 
Endeleeni kupuuza elimu. Tuna wabunge darasa la saba ,tuna baadhi ya mawaziri cv nyepesi na kadhalika.
 
Ukileta criteria ya Mmed ya Internal medicine wewe unakuwa umetumia standard za wapi Tanzania au U.S hebu nijibu hapo.

Na kwa uelewa wako Janabi sasa kama unavyodai anapractice kama mbobezi wa kitu gani huko?
Hapa tunazungumzia sifa za kuwa daktari bingwa mbobezi kwa kanuni, taratibu na sheria za baraza la madaktari la Tanganyika (MCT), standard za MCT zinashahabiana mnoo na nchi nyingi za Africa zilizopiga hatua kwenye fani ya utabibu kama Kenya, Ghana, Nigeria, South Africa. Huna Mmed ya internal medicine huna sifa za kusomea ubobezi wa moyo. Na kwa ubingwa ubobezi wa watoto, huna Mmed ya watoto (paediatric) huna ubobezi wa moyo.

Kwa nchi zilizoendelea sana kama USA, UK, Germany, France, Canada mziki wa kuwa Daktari bingwa wa moyo ni mchakato mrefu, mpana na mzito. Kwa alichosomea Professor Janabi huko anaweza kuishia masijala tu akihifadhi kumbukumbu za taarifa ya wagonjwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…