Ni kweli kwamba Profesa Janabi hajawahi kusomea wala kuwa Daktari Bingwa wa Moyo?

Ni kweli kwamba Profesa Janabi hajawahi kusomea wala kuwa Daktari Bingwa wa Moyo?

Daktari bingwa yoyote hapa Tanzania ni lazima awe na Mmed. Professor Janabi hana na hajawahi kuwa nayo.
Sasa kama MCT haimtambui kama Daktari aliwezaje kufanya kazi kama Daktari Bingwa Siku zote hizo? Mbona kama hii Mifumo inatuvuruga? Sasa ni wangapi wana hii changamoto na mmeekaa kimya?

Pili kama ndani tu wataalamu wenzake mmeanza kumkataa huko nje ataenda kushindana na nani? Reference point tayari imegoma????

Tatu wataalamu wenzake mnasema hata u Profesa wake haujulikani ni wa CHUO gani na nime google kweli sijaona!! Sasa hii inakuwaje mkapeleka CV kwa Rais ambayo ina utata na duniani kote macho yapo kwenye hii vurugu mliyoleta!

Nne kama hana MMED aliwezaje kutufanganya kwenye social media kuwa amewafundisha madaktari kadhaa hapo MUHAS?? This is confusing and shame kwa nchi!

Mwisho! MWENYE CV YA MTITIRIKO WA MIAKA NA QUALIFICATION KUANZIA SHULE YA MSINGI TUNAOMBA ALETE!! Tusije kusikia hata Uraia wake una mashaka!!

Nasubiri majibu nichangie zaidi!

Queen Esther
 
Alifanya Fellowship ya Moyo mkuu Usizushe kitu usichokijua..
Soma Hii Link
Mkuu usibishane na hao watu utakuta wamesomea ualimu,uanasheria au political science hawajui chochote kuhusu field ya Afya
 
Ila
Professor Janabi hana qualification yoyote ya kutibu moyo kibingwa, hana. Hakusomea popote na hakuwahi kutambuliwa na baraza la madaktari hapa Tanzania kama Daktari bingwa wa moyo. Na hata pale Muhimbili hajawahi kutibu moyo mtu kibingwa tangu awepo. Hana huo uwezo.
Hiyo cardiology ni political science? Waalimu mna tabu sana
 
Attachments

  • Screenshot_2024-12-10-16-30-33-159_com.android.chrome.jpg
    Screenshot_2024-12-10-16-30-33-159_com.android.chrome.jpg
    318.4 KB · Views: 4
Umechunguza wapi? Watu kibao wanakimbia Hospital za Serikali ambazo hao uliowasifia wamejaa, na Wana kwenda Hospitali za Private kwenye Madaktari bingwa, Nenda Hospitali kubwa kubwa nchi hii uone walivyojaa hao unaosema hawajui na nenda Amana, Muhimbili, temeke na Mwananyamala niambie wamejaa wapi kama sio Hao unaowasifia halafu linganisha Quality ya Huduma.
Unachanganya mambo.
Wahitimu wote wa udaktari waliosoma ndani na nje ya nchi utawakuta hospitali za umma na binafsi, mijini na vijijini, hivyo kuzorota kwa huduma kokote hakuna uhusiano wowote wa kuweza kuwatofautisha, ni tatizo la mifumo.
 
Mara baada ya Rais Samia kutangaza kumpigia debe Professor Janabi ili kuiwakilisha Tanzania kwenye kinyang'anyiro cha ukurugenzi mkuu wa WHO kanda ya Afrika, watu wenye akili kubwa ikabidi waingie chimbo kufukua file lenye kubeba wasifu mbali mbali kumhusu Profesa Mohamed Janabi ili kuona ana kipi cha kielimu na kisayansi, na sasa imekuja kugundulika kuwa, kumbe mwamba hakuwahi kusomea udaktari bingwa wowote (Mmed) achilia mbali udaktari bingwa wa moyo (Cardiologist) na wala hana sifa zozote stahiki za kibingwa kutibu moyo.

Na kwa mifumo ya mamlaka za usimamizi wa fani ya utabibu hapa Tanzania (Medical Council of Tanganyika), daktari asiyekuwa na sifa za kibingwa za fani huzika haruhusiwi kutoa matibabu ya kibingwa moja kwa moja kwa mgonjwa, na kwa tafsiri ya moja kwa moja, Professor Janabi hakuwahi popote moja kwa moja kutibu kibingwa moyo, na kama aliwahi kufanya hivyo anastahili kushtakiwa kwenye baraza la madaktari kwa kutenda kosa la kimaadili katika fani ya udaktari.

Hapa chini nimeambanisha wasifu wa Professor Janabi wa kidaktari unaotambulika na mamlaka za usimamizi wa taaluma ya udaktari hapa Tanzania (MCT).

Mwisho kabisa, MCT wanatakiwa kutoa maelezo kwa umma, kwa hicho ulichowahi kusomea Professor Jababi (Masters of tropical health) ambacho hakina sifa yoyote ya udaktari bingwa wa moyo (maana mhitimu yoyote wa fani ya afya anaweza kusomea), kinampaje sifa mhusika kuwa daktari bingwa wa moyo?

View attachment 3173753
Mzee wa betri 😂😂
 
K

Kwa hiyo ni specialist wa magonjwa gani
 
Dah Unaamini Kwamba Janabi sio Daktari Bingwa..
Kweli leyman Wakiweza Kuandika wanaandika Vitu vinakeera...

Kama Mnamchukia Samia Mchukieni Ola msichukie Fani ya Kidaktari na Kuanza kuleta Dharau soon Mnanitafutia Bann Naona kabisa
Kuna mtu hapo nimemuuliza swali jepesi anajua fellowship ya cardiology inachukua miaka mingapi na inahusu nini hajajibu .

Hapo ndio nilipocheka na kufunga mjadala maana naona nitajadiliana na mtu ambaye mada imemzidi kimo.
 
Hii Elimu yake inatusaidia nini kwa Kipindi hiki?

Jambo la Msingi aungwe Mkono.

Huu Upuuzi wa Elimu umebakia sana hapa kwetu Africa Mashariki.

Huko kwa Mabeberu kinachoangaliwa ni Uwezo wako Ku deliver.

Tuachaneni na Hizo mambo za Kuangalia Elimu , hazilijengi Taifa.
Unazijua WHO Guidelines za kuchagua viongozi wa mabara au unaongea tu? Unadhani hata Dr. Ndugulile alipitapita tu?
apo nafasi iko wazi, bodi ya utendaji ya WHO inaweza kuteua kiongozi wa muda.

- Kuanzisha Uchaguzi Mpya: Mchakato wa uchaguzi mpya utaanzishwa haraka. Hii itahusisha:
• Kupokea uteuzi wa wagombea kutoka kwa Nchi Wanachama.
• Kukagua wagombea na Bodi ya Utendaji ya WHO.
• Kura kupigwa na Mkutano wa Afya Duniani (WHA).
- Sheria za Dharura: Masharti maalum yaliyoainishwa katika Katiba ya WHO (Vifungu 31 na 108-114) na taratibu za WHA zitatumika.

Hapo juu ni Utaratibu rasmi kutoka Miongozo ya WHO na katiba yao.

Usituletee mambo ya kisisiemu ya kuteuana na kujuana tu kwenye mambo yanayohitaji utaalamu na experience
 
Unachanganya mambo.
Wahitimu wote wa udaktari waliosoma ndani na nje ya nchi utawakuta hospitali za umma na binafsi, mijini na vijijini, hivyo kuzorota kwa huduma kokote hakuna uhusiano wowote wa kuweza kuwatofautisha, ni tatizo la mifumo.
Si Kweli Hospitali Private (Sizungumzii Dispensaries za mtaani) kubwa kama Aga Khan, Seifee, na nyengine Mjini/Upanga zina madaktari Bingwa ambao wengi sio zao la Tanzania, na wengine nawafahamu personally wanavuta si chini 20M kwa mwezi.

Na hata Madaktari Bingwa Nchi hii ambao Tunajivunia kina Dr Sarungi na wengineo si zao la Nchi hii,
 
Ila
Hiyo cardiology ni political science? Waalimu mna tabu sana
Cardiology ni taaluma ya moyo.
Unaweza kusoma cardiology nurse, cardiology pharmacy, cardiology journalist, cardiology teacher, cardiology massage nk. Kuanzia ngazi ya certificate, diploma, degree, masters nk. Lakini kusomea chochote kile katika hicho hakikufanyi kuwa daktari bingwa mbobezi wa moyo.

Sasa kama unataka kuwa Medical Cardiac specialitist (Cardiologist), ni lazima uwe na Degree ya kwanza ya udaktari (Md), halafu uwe na degree ya pili ya udaktari/Udaktari bingwa kwenye magonjwa ya ndani au watoto (Mmed in internal medicine/Paediatric), halafu ndio ukasomee ubobezi wa kutibu moyo (Cardiac superspecialist).

Sasa Professor hana degree ya pili ya udaktari bingwa wa magonjwa ya ndani, sasa kuwa na ubingwa ubobezi wa moyo hawezi kuwa nao. Haiwezekani.
 
Si Kweli Hospitali Private (Sizungumzii Dispensaries za mtaani) kubwa kama Aga Khan, Seifee, na nyengine Mjini/Upanga zina madaktari Bingwa ambao wengi sio zao la Tanzania, na wengine nawafahamu personally wanavuta si chini 20M kwa mwezi.

Na hata Madaktari Bingwa Nchi hii ambao Tunajivunia kina Dr Sarungi na wengineo si zao la Nchi hii,
Kama katika hizo hospitali kubwa unazozisemea halafu hao madaktari unaowasemea ni watanzania, nina kuhakikishia bila shaka yoyote, walio wengi utaalamu wao wa msingi wa kutibu vyema wameupatia hapa Tanzania.

Kama huamini, chukua jina la yoyote, kisha nenda kacheck MCT doctor search utaona professional status zao, na zitaonyesha ni wapi walisomea.
 
Back
Top Bottom