Optimist_Tz
JF-Expert Member
- Jan 11, 2024
- 1,543
- 1,860
Wabongo kazini,yaan mnataka mumharibie mwezenu
Kusema ukweli ni kutaka kumharibia mtu ??
Hebu fikiria zaidi kwa akili na kuwa honest.
Au mnataka kuwa Taifa la wababaishaji kila mahala ??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wabongo kazini,yaan mnataka mumharibie mwezenu
Sahihi kabisa.MMED -SUPERSPECIALITY
Sasa kama MCT haimtambui kama Daktari aliwezaje kufanya kazi kama Daktari Bingwa Siku zote hizo? Mbona kama hii Mifumo inatuvuruga? Sasa ni wangapi wana hii changamoto na mmeekaa kimya?Daktari bingwa yoyote hapa Tanzania ni lazima awe na Mmed. Professor Janabi hana na hajawahi kuwa nayo.
Kwamba kila dr bingwa ambaye si wa public health ni mmed?Utawezaje Kuwa Bingwa bila MMED labda uwe bingwa wa Public health..🤣🤣
Yaani Public Health Specialist hawa wakonwengi sana..
Ila ili uwe Bingwa wa Udaktari Ni lazima Usome MMED..
Mkuu usibishane na hao watu utakuta wamesomea ualimu,uanasheria au political science hawajui chochote kuhusu field ya AfyaAlifanya Fellowship ya Moyo mkuu Usizushe kitu usichokijua..
Soma Hii Link
Prof. Janabi na Upepo wa Kisiasa
Janaba...ni janaba tu! Hata ufanyeje!... Litatoa harufu! Litanuka tu! Ndio jina lake! Mwache aongee anachojiskia!... Na yeye ana waumini wake wanaomtiiwww.jamiiforums.com
Hiyo cardiology ni political science? Waalimu mna tabu sanaProfessor Janabi hana qualification yoyote ya kutibu moyo kibingwa, hana. Hakusomea popote na hakuwahi kutambuliwa na baraza la madaktari hapa Tanzania kama Daktari bingwa wa moyo. Na hata pale Muhimbili hajawahi kutibu moyo mtu kibingwa tangu awepo. Hana huo uwezo.
Unachanganya mambo.Umechunguza wapi? Watu kibao wanakimbia Hospital za Serikali ambazo hao uliowasifia wamejaa, na Wana kwenda Hospitali za Private kwenye Madaktari bingwa, Nenda Hospitali kubwa kubwa nchi hii uone walivyojaa hao unaosema hawajui na nenda Amana, Muhimbili, temeke na Mwananyamala niambie wamejaa wapi kama sio Hao unaowasifia halafu linganisha Quality ya Huduma.
Mzee wa betri 😂😂Mara baada ya Rais Samia kutangaza kumpigia debe Professor Janabi ili kuiwakilisha Tanzania kwenye kinyang'anyiro cha ukurugenzi mkuu wa WHO kanda ya Afrika, watu wenye akili kubwa ikabidi waingie chimbo kufukua file lenye kubeba wasifu mbali mbali kumhusu Profesa Mohamed Janabi ili kuona ana kipi cha kielimu na kisayansi, na sasa imekuja kugundulika kuwa, kumbe mwamba hakuwahi kusomea udaktari bingwa wowote (Mmed) achilia mbali udaktari bingwa wa moyo (Cardiologist) na wala hana sifa zozote stahiki za kibingwa kutibu moyo.
Na kwa mifumo ya mamlaka za usimamizi wa fani ya utabibu hapa Tanzania (Medical Council of Tanganyika), daktari asiyekuwa na sifa za kibingwa za fani huzika haruhusiwi kutoa matibabu ya kibingwa moja kwa moja kwa mgonjwa, na kwa tafsiri ya moja kwa moja, Professor Janabi hakuwahi popote moja kwa moja kutibu kibingwa moyo, na kama aliwahi kufanya hivyo anastahili kushtakiwa kwenye baraza la madaktari kwa kutenda kosa la kimaadili katika fani ya udaktari.
Hapa chini nimeambanisha wasifu wa Professor Janabi wa kidaktari unaotambulika na mamlaka za usimamizi wa taaluma ya udaktari hapa Tanzania (MCT).
Mwisho kabisa, MCT wanatakiwa kutoa maelezo kwa umma, kwa hicho ulichowahi kusomea Professor Jababi (Masters of tropical health) ambacho hakina sifa yoyote ya udaktari bingwa wa moyo (maana mhitimu yoyote wa fani ya afya anaweza kusomea), kinampaje sifa mhusika kuwa daktari bingwa wa moyo?
View attachment 3173753
Moja imeandikwa certificate na nyingine imeandikwa PhD huoni tofauti hapo? 😂😂Certificate ya USSR miaka ya 80 ni sawa na PHD 10 za jalalani kwenu, Dogo heshimu hustle za watu 🤣🤣
Afya haijaingiliwa ambako mna admit D3? UpuuziTanzania ndio ilivyo uyo ni mtu wa system kubebwa ni lazima tu uwe na elimu usiwe na elimu utakula shavu tu
Ingawa sector ambayo naamini haijaingiliwa ni ya afya hvyo yawezekana kweli professor yupo vizuri but siasa ndio zinamchafua.
Kwa hiyo ni specialist wa magonjwa ganiMara baada ya Rais Samia kutangaza kumpigia debe Professor Janabi ili kuiwakilisha Tanzania kwenye kinyang'anyiro cha ukurugenzi mkuu wa WHO kanda ya Afrika, watu wenye akili kubwa ikabidi waingie chimbo kufukua file lenye kubeba wasifu mbali mbali kumhusu Profesa Mohamed Janabi ili kuona ana kipi cha kielimu na kisayansi, na sasa imekuja kugundulika kuwa, kumbe mwamba hakuwahi kusomea udaktari bingwa wowote (Mmed) achilia mbali udaktari bingwa wa moyo (Cardiologist) na wala hana sifa zozote stahiki za kibingwa kutibu moyo.
Na kwa mifumo ya mamlaka za usimamizi wa fani ya utabibu hapa Tanzania (Medical Council of Tanganyika), daktari asiyekuwa na sifa za kibingwa za fani huzika haruhusiwi kutoa matibabu ya kibingwa moja kwa moja kwa mgonjwa, na kwa tafsiri ya moja kwa moja, Professor Janabi hakuwahi popote moja kwa moja kutibu kibingwa moyo, na kama aliwahi kufanya hivyo anastahili kushtakiwa kwenye baraza la madaktari kwa kutenda kosa la kimaadili katika fani ya udaktari.
Hapa chini nimeambanisha wasifu wa Professor Janabi wa kidaktari unaotambulika na mamlaka za usimamizi wa taaluma ya udaktari hapa Tanzania (MCT).
Mwisho kabisa, MCT wanatakiwa kutoa maelezo kwa umma, kwa hicho ulichowahi kusomea Professor Jababi (Masters of tropical health) ambacho hakina sifa yoyote ya udaktari bingwa wa moyo (maana mhitimu yoyote wa fani ya afya anaweza kusomea), kinampaje sifa mhusika kuwa daktari bingwa wa moyo?
View attachment 3173753
Kuna mtu hapo nimemuuliza swali jepesi anajua fellowship ya cardiology inachukua miaka mingapi na inahusu nini hajajibu .Dah Unaamini Kwamba Janabi sio Daktari Bingwa..
Kweli leyman Wakiweza Kuandika wanaandika Vitu vinakeera...
Kama Mnamchukia Samia Mchukieni Ola msichukie Fani ya Kidaktari na Kuanza kuleta Dharau soon Mnanitafutia Bann Naona kabisa
Unazijua WHO Guidelines za kuchagua viongozi wa mabara au unaongea tu? Unadhani hata Dr. Ndugulile alipitapita tu?Hii Elimu yake inatusaidia nini kwa Kipindi hiki?
Jambo la Msingi aungwe Mkono.
Huu Upuuzi wa Elimu umebakia sana hapa kwetu Africa Mashariki.
Huko kwa Mabeberu kinachoangaliwa ni Uwezo wako Ku deliver.
Tuachaneni na Hizo mambo za Kuangalia Elimu , hazilijengi Taifa.
😳😳😳Upo sahihi mkuu SIASA ya nchi yetu imemfikisha hapo alipo fika,,, ni mtu muhimu sanaaaa kwenye system na ana siri nzito kwenye nchi yetu,,,, ACHA TUENDELEE KUMSIKILIZIA KA ATATOBOA WHO,,, kila lakheri kwake na kwa TAIFA
Si Kweli Hospitali Private (Sizungumzii Dispensaries za mtaani) kubwa kama Aga Khan, Seifee, na nyengine Mjini/Upanga zina madaktari Bingwa ambao wengi sio zao la Tanzania, na wengine nawafahamu personally wanavuta si chini 20M kwa mwezi.Unachanganya mambo.
Wahitimu wote wa udaktari waliosoma ndani na nje ya nchi utawakuta hospitali za umma na binafsi, mijini na vijijini, hivyo kuzorota kwa huduma kokote hakuna uhusiano wowote wa kuweza kuwatofautisha, ni tatizo la mifumo.
Cardiology ni taaluma ya moyo.Ila
Hiyo cardiology ni political science? Waalimu mna tabu sana
Kama katika hizo hospitali kubwa unazozisemea halafu hao madaktari unaowasemea ni watanzania, nina kuhakikishia bila shaka yoyote, walio wengi utaalamu wao wa msingi wa kutibu vyema wameupatia hapa Tanzania.Si Kweli Hospitali Private (Sizungumzii Dispensaries za mtaani) kubwa kama Aga Khan, Seifee, na nyengine Mjini/Upanga zina madaktari Bingwa ambao wengi sio zao la Tanzania, na wengine nawafahamu personally wanavuta si chini 20M kwa mwezi.
Na hata Madaktari Bingwa Nchi hii ambao Tunajivunia kina Dr Sarungi na wengineo si zao la Nchi hii,
Dr. Shein ana diploma ya mifugo bwana, hata degree hanaAlisoma Urusi na Dr SheIn 😂😂
Watu wameshindwa kuhoji elimu ya Samia na kina Nape wanahoji kwa Janabi si vituko hivyo.!Endeleeni kupuuza elimu. Tuna wabunge darasa la saba ,tuna baadhi ya mawaziri cv nyepesi na kadhalika.