Ni kweli Lissu kakosa pesa za kuendesha uchaguzi wa kamati kuu ya chama?


Wa Belgiji wataleta
 
Tuseme ndiyo ipo hivyo.
Ungembakiza Mbowe angetoa pesa zake, unafikiri Mbowe ataishi milele?
Siku angeondoka duniani mngefanyeje?
Huoni sasa ndiyo wakati sahihi kujiandaa mapema na mambo hayo kwa kutafuta vyanzo vya pesa vya kueleweka vya chama?
Mbowe ndio kagharamia kila kitu ulikiona pale Mlimani City.

Sasa inawezekana hakuwa sahihi kutumia hiyo modal. Je Lissu kajipangaje?

Nimestuka sana kuona Lissu na wenzake wamekosa million 50 ya lazima. Kuna giza naliona.
 
Haya mambo acha kabisa,nimekumbuka mbali,niliwah kuachiwa kiwanda kidogo cha nafaka

Wakat sijakusanya pesa vzur,mashine moja ikaharibika na ilihitaji pesa ndefu kidogo kuirekebisha,hapo ndo nilipogundua haya mambo yanahitaj wenye pesa

Bila pesa huwezi kufanya siasa ni ngumu sana.

Kwenye siasa hata mkutano kwenye kata unazungumzia pesa.
 
Hii ndio excuse tutaitumia Lissu akishindwa kuendesha chama?
 
Watu mna ugonjwa wa akili, Lissu amekabihiwa lini ofisi?
Je anaweza kuchaguliwa papo hapo hapo na aanze kigharamia?
We uliona wapi?
 
Una akili
 
Hii ndio excuse tutaitumia Lissu akishindwa kuendesha chama?
Sio excuse ni somo pia ni ushahidi kuwa chama kile kingeweza kufq ingetokea mwenyekiti qmbaye ndiye mwenye fedha qmefariki au amehqmq na fedha zake kuhamia CCM. Kimsingi hakukuwa na chama bali mtu anayefadhili maisha ya watu kupitia chama huku na yeye anapata faida.

Lissu yeye taahukumiwa kwa kipindi chake pia. Kama amegombea akijua hayo lazima atuonyeshe yeye atatumia mbinu gani kama reform ya mfumo mbovu wa kifedha chamani. Akishindwa haimqqnishi mfumo ule wa Mwamba ndio imara, bali inamanisha watafute mtu qtakayekuwa mbunifu ila sio kama alivyofanya aliyeondoka.

Ni hayo tu.
 
Wabongo mna mambo ya kishamba Sana, Lisu hajakabidhiwa ofisi wala chochote pundee Tu Baada ya Uchaguzi.

Kwa hiyo HOJA mnayotaka kuijenga ili aonekane hawezi tambueni haiwezi kufanya kazi, kama ni pesa za kuendesha Chama atapata za kutosha. Nii suala la muda tu
 
Hiki chama kiliendeshwa kama SACCOS, mtu anakopesha chama, kisha anajilipa na faida juu
Nikweli,hata ile kauli ya Mnyika kumshukuru Xchair kwamba amegharamia shughuli yote ya Mkutano ni ishara kwamba Xchair atataka kurudishiwa chakwakwe(Pesa ya mama Dully)
 
Bila pesa huwezi kufanya siasa ni ngumu sana.

Kwenye siasa hata mkutano kwenye kata unazungumzia pesa.
Kwa hiyo wewe unatakaje Kwa mfano, maana unalialia Sana kama mwanamke anayelilia dyu.du
 
Kwa hiyo wewe unatakaje Kwa mfano, maana unalialia Sana kama mwanamke anayelilia dyu.du
Matusi hayakisaiidii chama mkuu, chama kinahitaji pesa. Lissu akishindwa kuendesha chama itakuwa ni aibu kubwa kwa chama.
 
Mbowe hayupo tena Chadema.

Ni ajabu tukiendelea kumbebesha lawama za kufeli kwa Lissu.
 
Mwanzo tu tayari chawa wa Mbowe wanalia. Ngoja tutaona mpasuko. Kiongozi hapimwi kwa pesa. Kama Mbowe alikus anatoa pesa yake kwa hivyo madai kwamba chadema ilikua kampuni yake binafsi. Kitu cha kwanza ni lissu kukomboa ruzuku ya chadema inayodaiwa ilikua inaingizwa kwenye account binafsi za mbowe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…