zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Mbona walisema uchaguzi unasubiri rufaaa zisikilizwe na majibu ya katibu mkuu yatoke ndio utaitishwa.Kuna habari inaenea kwamba uchaguzi wa wajumbe wa kamati kuu umeshindikana sababu hakuna pesa.
Bajeti ya kuendesha uchaguzi huo ni million 50 lakini uongozi mpya wa Lissu hizi pesa kidogo zimewashinda ku mobilize.
Naomba kufahamu ukweli wa jambo ili nijue tulichagua watu sahihi ama la?
ID ya Molemo imepotea baada ya uchaguzi.Lisu mwenyewe hajawahi changia chama hata mia
Achangie yeye sasa hivi hivyo vikao
Pesa zake? Yeye anapewa hela kama mwenyekiti wa chama alafu anajigeuza ni personal income. Mfano samia akiomba fedha CRDB watampq sababu ni Samia Suluhu au sababu ni rais?Kwenye upinzani hakuna fungu la chama kuna ruzuku tu ambayo ni ndogo sana ndio maana Freeman alitoa pesa zake kwenye shughuli ya Mlimani City.
Ni John Mrema yule, itarudi tena akifanya press yake uchwaraID ya Molemo imepotea baada ya uchaguzi.
Aliendesha kwa pesa zakeHuu pia ni ushahidi aliyekuwepo hakuwa na uwezo. Utaongozaje chama miaka 20 alafu ukiache kikiwa hakina pesa. Maana yake wakina Lissu ndio wanaanza upya sasa kufanya kila kitu.
Ripoti ya Ukaguzi ya mkaguzi mkuu inaonyesha hakuna hilo tatizoPesa zake? Yeye anapewa hela kama mwenyekiti wa chama alafu anajigeuza ni personal income. Mfano samia akiomba fedha CRDB watampq sababu ni Samia Suluhu au sababu ni rais?
Sasa Mbowe akipewa fedha na vyama rafiki au wanasiasa rafiki huko duniani basi anageuza kama ni yeye binafsi ndio katoa.
Huu ulikua utapeli
Lisu hana uwezo wa kuendesha chamaLissu kwa kweli ananipa mashaka kwenye uendeshaji wa chama.
Chama kinaendeshwa kabla ya uongozi mpya kukabidhiwa ofisi rasmi? Acha ujinga basi BIG. Mwili Tembo akili Sisimizi, mayai yamekusaidia nini?Acha kutuhumu watu ni muda wa kuendesha chama sio majungu.
Uongozi mpya alishakabidhiwa Lisu na mkutano mkuu na kuanza kabisa kazi ya kuteua wajumbe wa kamati kuu nkChama kinaendeshwa kabla ya uongozi mpya kukabidhiwa ofisi rasmi? Acha ujinga basi BIG.
Kuna habari inaenea kwamba uchaguzi wa wajumbe wa kamati kuu umeshindikana sababu hakuna pesa.
Bajeti ya kuendesha uchaguzi huo ni million 50 lakini uongozi mpya wa Lissu hizi pesa kidogo zimewashinda ku mobilize.
Naomba kufahamu ukweli wa jambo ili nijue tulichagua watu sahihi ama la?
Hilo pia kosa la Nyerere alitakiwa aache akina kidogo.Uongo
Raisi Mwinyi alipokea uraisi kwa Nyerere nchi ikiwa Hazina haina kitu kabisa
Mpaka mishahara ya wafanyakazi wa serikali kulipa aliwahi kwenda kuomba kwa mfanyabiashara mmoja
Uongozi hupokei tu assets unapokea na liabilities pia
Uenyekiti ni pamoja na kupokea fuko tupu sio lililojaa pesa tu
Lisu alifikiri kupokea uongozi ni pamoja na kupokea hela za Abdul alizokuwa akituhumu kuwa Mbowe ndizo anatumia kugharimia kikao kwa kugharimia mkutano?
Atafute na yeye aingie mfukoni agharimie
Anaachaje akiba wakati matumizi yanaendelea kulipa wafanyakazi,gharama za kuendesha ofisi,kulipa umeme, maji magari nkHilo pia kosa la Nyerere alitakiwa aache akina kidogo.
Kosa la Nyerere halifuti kosa la Mbowe.
Two wrongs don't make it right.
Anataka pengo la Mh.Mbowe lionekane.....Tufanye hawana, ndiyo unatakaje sasa?
Hizi ni propaganda zilizoanzishwa na team mbowe mara tu baada ya ule mkutano kumalizika ili kujaribu kumdhoofisha tundu lissu mwenyekiti wa sasa, kuhusu suala la hela sio msingi sana kwenye mambo haya uongozi wa kisiasa muhumu ni uaminifu kwa watu na kujenga matumaini mapya na kuvuna wanachama wapya ambao walishakata tamaa kutokana na hila za mbowe kwenye chaguzi za chama ndani lakini kutumiliwa na ccm.Kuna habari inaenea kwamba uchaguzi wa wajumbe wa kamati kuu umeshindikana sababu hakuna pesa.
Bajeti ya kuendesha uchaguzi huo ni million 50 lakini uongozi mpya wa Lissu hizi pesa kidogo zimewashinda ku mobilize.
Naomba kufahamu ukweli wa jambo ili nijue tulichagua watu sahihi ama la?
Unamaanisha ruzuku kupitia kodi zinazokusanywa na serikali ya ccm?haha! kwani kwenye mambo ya chama kiongozi anatoa pesa zake mfukoni ama kuna fungu la chama..?
Peleka uharo wako lumumba huko kwa mabasha zako wakakuzibue labda akili ndiyo itakukaa sawa.Kufahamu ukweli, tujue tulikuwa right au tulifanya makosa