Ni kweli makampuni ya Australia yametuingiza chaka kuvuna Graphite na Niobium mikoa ya Lindi na Mbeya

Msikilize mrembo diaspora huyo asemachoView attachment 2603316

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app

Kabla ya kuni-quote umesoma nilichoandika? Angalia vizuri, nimeuliza huyu demu ni expert wa madini? Ana wasifu gani Hadi tuamini asemacho au sababu ni diaspora tu. Hata sisi ni diaspora na tuna mawazo yetu.

Nyie mnataka shingapi kwenye hii project au mnawekeza nini Hadi mpewe hisa zaidi? Mtu atoe capital, vifaa, utaalam nk nk afu mnataka mgawane nusu mnawazimu.
 
Umeliweka vizuri. Watu wananangalia faida tu ila wanasahau gharama za utafiti na uchimbaji
 
Sio kwamba hawaoni, waliona!
Ubinafsi na ulaghai wa watu wa CCM ndio umekuwa majanga nchi hii kila uchwao!
kama hatutawaondoa CCM madarakani hii nchi itabaki mashimo matupu!
 
Haahah

Wakati maeneo ya graphite yapo mengi tu kama wanataka na wao waingie kuchimba

Ova
 
Samia hataki hata kusikia hilo .maana yeye ni ubinafsishaji ubinafsisha na yeye huko mbele kuna siku ata atabinafsisha ikulu kwa kuwa haifanyi vizuri
 
Samia anatutia hasara katika mambo mengi mno.

Huwa nikimuona na hao watu sina Imani kabisa najua tunapigwa tu.

Hii nchi mpaka huyu mama amalize muda wake hakuna kitachobakia.

Sasa hivi wameshajua wanakuja tu kujichotea mali na kuondoka.
Alivyo mvivu kusoma na kukagua makaratasi wajanja ndo wanapitisha mambo yao hapo
 
Unasikitisha
 
Issue kubwa ukiyaacha utakula nini?,Nyerere tu ndio alikuwa na akili hizo akawaachia vizazi akijua ipo Siku yatawasaidia.

Hawa viongozi wa sasa hivi uwezo wao mdogo.
 
Umeliweka vizuri. Watu wananangalia faida tu ila wanasahau gharama za utafiti na uchimbaji
Utafiti ulikwisha fanywa kabla hujazaliwa kilichokuwa kinasubiriwa ni kuanza uchimbaji tu!
 
Kwani lazima tuchimbe sasa?
Nyerere aliyaacha akiwa na nia kuwa IPO siku tutakuwa na uwezo wa kitekinolojia na kifedha kuweza kuyachimba now ni 60+ yrs hakuna kiongozi hata mwenye nia ya kufanya hivyo.
 
Tuna jenga SGR tuna import chuma, huku kule Mchuchuma-Ludewa tuna chuma cha kutosha.sasa hizi ni akili au matope
 
Nyerere aliyaacha akiwa na nia kuwa IPO siku tutakuwa na uwezo wa kitekinolojia na kifedha kuweza kuyachimba now ni 60+ yrs hakuna kiongozi hata mwenye nia ya kufanya hivyo.
Nadhani ipo haja ya kuanzisha sera ya kuimarisha sekta binafsi ili iweze kumudu kutekeleza miradi mikubwa badala ya kutumia sekta binafsi za nje (makampuni ya nje).

China walipoamua kuachana na siasa za Mao tse Tung walianza kuimarisha sekta binafsi na sasa wana makampuni makubwa yanayoshindana kimataifa.
 
Sisi tuangalie ajira ili tujikwamue kimaisha hizo fedha tunazolilia Serikali izipate zitaliwa na Kikundi cha CCM.
 
Tuna jenga SGR tuna import chuma, huku kule Mchuchuma-Ludewa tuna chuma cha kutosha.sasa hizi ni akili au matope
Usokwe ni pale tunapofikiri kuwa Yepi Merkezi ni Shirika la Umma la Tanzania.

Watanzania ni Masokwe yaliyochangamka kidogo.
 
Bado nchi imelala. Zama za kuchezea almasi kwenye mchezo wa bao bado ipo, ingawa kwa sasa imekuja na ukisasa mwingi. Siku tukiamka tutakuwa hatuna kitu.
 
Hauna uelewa juu ya madini hayo hivoaa busara ukae kimya tuws
Toka siku Ile, ikasemwa tumepita horizontally na Kisha vertically. Isitoshe tukapita diagonaly na Tena perpenducally tumejiridhisha tumeibiwa 420trilions baadaye 700b kimya,kimyaaa....watu tunadhani ukubwa WA pua ni wingi WA kama SI.tuna vijana wamesoma viziri na
Madigital kweli kweli tuwatumie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…